Flora Nducha ameolewa na nani?

AljuniorTz

JF-Expert Member
Jan 6, 2009
544
17
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
 
Ili iweje sasa? Acha kufuatilia maisha ya watu. Wewe inakuhusu nini, huyo aliomuoa? Jaribu kujadili mambo na siyo kujadili watu, itasaidia zaidi wana JF kuwekeza muda wao vizuri, kwa maana ya kujielimisha zaidi maana nina hakika hili ndio lengo kuu la wana JF wengi na sio kujadili maisha ya watu. Grow up and get a life for yourself.
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
watu bana......umeuliza swali....bado na wewe hujaweka wazi ili usaidiwe duku duku lako....alafu ukishajua kaolewa na nani utafanyaje?...
bilivu me zeutamu inahitajika......kipindi kile ilipokuwa hewani thread za saluni hazikuwepo
 
kwani kuolewa ni tatizo ?wewe unataka kumjua bwana wake ili iweje?unataka kumuibia?teh teh teh,naona mnskosa hoja hadi mnaanza kufutilia nani kaolewa nani kaachika duh hi ikali ya kuanzia week..kwa habari nilizo zipata hivi punde ni kwamba ameolewa na YoYo
 
bilivu me zeutamu inahitajika......kipindi kile ilipokuwa hewani thread za saluni hazikuwepo
kwiiii kwi kwi,inabidi irudi tena upesi maana naona watu wote wakule wamehamia huku, na wanataka kuendeleza mambo yakule hapa.Maana siku hizi utasikia "Ray c kanenepa" mara "ooh ritha anaumwa nini "sijui nini yaani wanaleta mambo ya kwa mzee nanhii hapa.
 
jana mmoja ndio kaniua mbavu.....kauliza kwanini Mr Lyumba anakunywa maji! yaani mambo ya aibu....thread za JF cku hizi balaa...
Wakulu;

Toka Sekeseke na Shem Liyumba lianze Kisitu, nimekuwa nikimwona na chupa kubwa ya maji ya Kilimanjaro.

Kumekuwa na discussion kuwa anako kale kaugonjwa ketu kale.

Somebody tell me hii habari ya yeye kuwa na maji wakati wote ikoje?
 
jana mmoja ndio kaniua mbavu.....kauliza kwanini Mr Lyumba anakunywa maji! yaani mambo ya aibu....thread za JF cku hizi balaa...
Yaani ni balaa tupu,mtu anatoka zake kwenye vilabu sijui vya Pingu anakuja hapa anaweka litundiko lake la hovyo hovyo alafu anategemea watu wachangie ujinga wake...Dawa ya watu wanao anzisha thread zisizo kuwa na miguu wala kichwa ni kuzichunia tu next time hatorudia tena.
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???

Kaolewa na mimi. Now what next???
 
Kaolewa na mimi. Now what next???

Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'

So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant

Hongera Flora kwa kumpata mwenza
 
Kama itasaidia kumaliza mjadala naomba kuwafahamisha kuwa Flora hajaolewa bado, isipokuwa amechumbiwa na jamaa kutoka kwa watani wa jadi.
 
Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'

So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant

Hongera Flora kwa kumpata mwenza

Haha hapana mkuu I was being sarcastic.
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???

Haya Mambo yenu ya kijinga myarudishe ze Utamu. Na wale wanaolilia ze utamu, kuna Ze-Utamu part two imeanzishwa. Huko ndo upuuzi kama huu upelekwe siyo hapa kwetu siye wasomi

BLOGU YA KWANZA AMBAPO MAONI YOTE YANARUHUSIWA

Mkuu tunaomba hii thread ya kijinga iondolewe. Flora ni dada yangu wa Damu na siwezi kuwaachia wajinga wamseme
 
http://jamiiforum.blogspot.comMkuu tunaomba hii thread ya kijinga iondolewe. Flora ni dada yangu wa Damu na siwezi kuwaachia wajinga wamseme

Sioni sababu za kuifunga Flora yupo juu bana lazima atumulike yeye ni kioo cha jamii mkuu hutaki shemeji nini? Mi nataka nimpindue huyo aliyetoa posa nakuja kamili kamili na ninatangaza harusi kabisaaaaaaa nakuwa shemeji yako mkuu. Mwenye dada hakosi shemeji kwikwikwikwi jiandae.
 
Hiyo ni tabia ya umbea inayokusumbua. Ukimjua Mme wa Flora Nducha wewe itakusaidia nini wewe?????. Au alikuwa wa kwako na umenyang'anywa??????????.
 
Kwani kujua kuna ubaya?
Yule ni kioo cha jamii wewe hatuna haja hata kukujua.
 
Jamani badala ya kumpongeza mnaanza kumchimba kwani kuolewa si kawaida jamani au yeye alitakiwa asiolewee???mpeni pongezi yake tumtakie maisha mema ya ndoa......ukishajua mumewe then what?
 
watu bana......umeuliza swali....bado na wewe hujaweka wazi ili usaidiwe duku duku lako....alafu ukishajua kaolewa na nani utafanyaje?...
bilivu me zeutamu inahitajika......kipindi kile ilipokuwa hewani thread za saluni hazikuwepo

Nakuunga mkono 300%(kama bungeni haha!) kwa mwenye kuweza afungue blog ya gossip haraka sana,ile crowd ya zeutamu imehamia hapa tunaishia kuongelea mambo binafsi ya watu badala ya mawazo au matukio.Kuna haja ya hawa ndugu zetu kuwapatia sehemu ya ku-gossip ili tupumue hapa.
 
Back
Top Bottom