hahahahaha maskini mleta mada, amekoma
Flora Mvungi ni nani?wengine hatumjui
Jamani kuna tetesi zimezagaa kuwa flora mvungi baada ya kuvishwa pete ya uchumba kaivua na kumrudishia h.baba kwa madai kuwa ameona hafai kuwa mme mwema..mwenye habari zaidi atujuzeView attachment 69383
Ujue JF ni home of greater thinker. Kwa hiyo frola kuwa hapa ni kama osama kuiona pepo.ulimfungulia account humu??
Ujue JF ni home of greater thinker. Kwa hiyo frola kuwa hapa ni kama osama kuiona pepo.
hata simjui huyo frola mvungi mnayemzunguzia...but huyo mkata mauno hbaba namjua kwasababu kuna mshkaji wangu anampenda sana anatam,ani akamvishe pete kwa jinsi anavyozungusha mauno kuwashinda hata dada zake