Flora Mbasha na Edward Lowassa

Flora Mbasha na Edward Lowassa

Mkuu, mbona huyu ni "kada" wa ccm; na wasee wa ccm wamemtunuku ubunge wa viti maalum ili wasee (EL) waendelee kufaidi ?

hivi nae ni mbunge siiku hizi?maana sikumbuki kusikia jina lake miongoni mwa majina ya wabunge wa viti maalum wa ccm,alipitia kundi gani?
 
Yesu alikula na mtoza kodi Zakayo, ana dhambi gani Lowasa ya kutoalikwa na Mbasha?

Kweli zesinia, kwa sababu Yesu alikuja kwa wale waliokuwa wanahitaji tabibu kwa afya zao kama Zakayo na bado watu walimshangaa,,
 
Ni vizuri ukanukuu uongo ni upi na ukweli unaoujua wewe ni upi katika hayo sio unaongea kama umetoka maliwato.

Pole sana na hongera sana kwa kushukuriwa na wachangiaji "0" kwa threads zako. kwa majibu yako hayo nahisi una uhusiano wa tambwe hiza.
 
To be honest hawa watu wako kibiashara zaidi tena kuliko hata watoto wa bongo flavour...!! BUT KWASABU NYIMBO ZAO HAZISIFU CHAMA WALA MAPENZI AU KUPROMOTI USHETANI BASI WALE WANAOMINI KATIKA HIZO NYIMBO NA MUNGU AMA NABII ANAESIFIWA HUMO WAENDELEE KUSIKILIZA CAZ HATA MAPADRI MWISHONI WANASEMA FUATA MANENO YANGU USIFUATE MATENDO YANGU...!!! Ila kama kunawatu wanaomjua humu wangemshauri tu direction anayoenda ni kichakani soon people will nat buy her works...!!!!:disapointed:
 
Jmn hawa hawana tofauti na kina jd na ray c,hawa wakina mbasha na rose mhando walishindwa kutoka ktk bongo flava wakaamua kuja ktk injili ila hapa hakuna mwenye wito wa kumtumikia mungu. Waliokua na wito ni zile kwaya kma za bulyahuru na kijitonyama lutheran ila hawa wapo ki bi.ashura zaidi
 
Bibie na Babu yake Moses Kulola ni Matapeli tu ya Kidini.

Nilishamshtukia Kulola zamani sana kuwa ni Pandikizi la CCM na sintashangaa pia kuwa ni Usalama wa Taifa.

Yule Mchungaji Davidi sijui wa Kariakoo, alikomba hela na akajikata zake USA.

Hawa Walokole wengi wao (viongozi) wanaishi HIGH LIFE wakati waumini wao wanajikamua visenti vya Kauzu ili wao waishi hivyo.

Heri mseme tu kuwa Mnaimba/Mnahubiri Msiyoyaamini.
 
Labda wanajuana kitambo! lol!

'..For the love of money is the root of all evils...' [1 Timothy 6:10]
 
Pole sana na hongera sana kwa kushukuriwa na wachangiaji "0" kwa threads zako. kwa majibu yako hayo nahisi una uhusiano wa tambwe hiza.

Maneno ya mtu huwa yanatoa tafsiri ya huyo anayeyaongea hata kama hujamwona. Kwa maneno yako tu wewe ni mmoja wa hao wanaojifanya walokole wanaochukua nguvu za giza Nigeria. Siongei na wachawi!
 
Mmeshaanza kuleta story zenu zenye udini ngoja mkuu ZOMBA aje awakute na mistari yenu ya ktk bible aanze kuwachana...... "toa AYA"
 
Florah Mbasha ni kicheche tu , hata nyimbo zake hazina msisimko na zimekosa upako. Yuko kimaslah zaidi
Copy%2Bof%2BDSC07478.JPG

Mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh.Edward Lowassa akiwa pamoja na Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. John Komba na wengineo wakitest ubora wa Studio hiyo kwa kusikiliza baadhi nyimbo kadhaa zilizorekodiwa na studio hiyo ambayo imezinduliwa hivi karibuni nyumbani kwakwe Flora Mbasha (mwenye gauni damu ya mzee) huko Tabata Kisukulu jijni Dar wikiendi hii

Copy%2Bof%2BDSC07470.JPG

Baadhi ya vyombo vya studio hiyo ya Msanii Flora Mbasha vikiwa tayari vimefungwa. Studio hiyo itatumika kurekodi nyimbo za muziki wa Injili na hata kuwasaidia wasanii wachanga wenye vipaji kwa ajili ya kuviendeleza. Flora Mbasha anakuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike wa nyimbo za Injili kufungua studio yake mwenyewe

Huyu dada ambaye watu wanaamini ana upako huwa simwelewi,..kwanza nilimwona kavaa manguo ya kijani mwaka jana kikwete alipotangazwa rasmi kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm,..nafikiri ni mwanachama wa ccm sababu aliwapigia hata debe wakati wa uchaguzi!!sasa hii ya kumwalika lowasa ndo imeniacha hoi,.lowasa amethibitika beyond reasonable doubt kuwa ni fisadi papa,may be iam wrong lakini sina heshima na huyu dada na gospel zake nilishaacha kuzisikiliza
 
Naona Flora sasa mkorogo umekolea kwelikweli. Duh! Haya mpendwa.!
 
copy%2bof%2bdsc07478.jpg

mgeni rasmi waziri mkuu mstaafu na mbunge wa monduli mh.edward lowassa akiwa pamoja na mbunge wa mbinga magharibi mh. John komba na wengineo wakitest ubora wa studio hiyo kwa kusikiliza baadhi nyimbo kadhaa zilizorekodiwa na studio hiyo ambayo imezinduliwa hivi karibuni nyumbani kwakwe flora mbasha (mwenye gauni damu ya mzee) huko tabata kisukulu jijni dar wikiendi hii

copy%2bof%2bdsc07470.jpg

baadhi ya vyombo vya studio hiyo ya msanii flora mbasha vikiwa tayari vimefungwa. Studio hiyo itatumika kurekodi nyimbo za muziki wa injili na hata kuwasaidia wasanii wachanga wenye vipaji kwa ajili ya kuviendeleza. flora mbasha anakuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike wa nyimbo za injili kufungua studio yake mwenyewe

huyu dada ambaye watu wanaamini ana upako huwa simwelewi,..kwanza nilimwona kavaa manguo ya kijani mwaka jana kikwete alipotangazwa rasmi kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm,..nafikiri ni mwanachama wa ccm sababu aliwapigia hata debe wakati wa uchaguzi!!sasa hii ya kumwalika lowasa ndo imeniacha hoi,.lowasa amethibitika beyond reasonable doubt kuwa ni fisadi papa,may be iam wrong lakini sina heshima na huyu dada na gospel zake nilishaacha kuzisikiliza

1::nilimwona na kavaa nguo za ccm nafikiri mwanachama wa ccm
umeambiwa tukivaa kijani wote ni ccm ama tukienda kwenye sherehe za ccm ni wana ccm akikuliza kadi yake unayo ushahidi

2:lowassa fisadi papa
umeambiwa lowassa yukoo nssr??na kama sio ulitakaa aondoke ccm kwenye mlo

3🙂sina heeshima na huyu dada
umeandikwa wapi heshima inanunuliwa??sidhan kama yeye anaitaj heshima yako hata kidogo...

4)))punguza wivu mwenzio kaona line na wewe tafuta yako tuache wivu wa kijinga soma ulichoandika kabla ya kulalamika

ccm+lowassa+fisadipapa+simheshimu= wapi na wapi

ubarikiwe tena
 
Hizi ni njaa tu za pesa, nachojua kwenye kuzindua nyimbo za dini/ studio huwa wanaalikwa viongozi wa dini, lakini hawa wanaalika watu wenye pesa ili wapewe pesa na kuwasafisha watu tuhuma.
 
..........labda anaupeo mdogo..........but hata wachungaji wake walishindwa kumshauli

kwa huyo mtu nichukizo kwa watu wa nchi hii..!
 
Copy%2Bof%2BDSC07478.JPG

Mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh.Edward Lowassa akiwa pamoja na Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. John Komba na wengineo wakitest ubora wa Studio hiyo kwa kusikiliza baadhi nyimbo kadhaa zilizorekodiwa na studio hiyo ambayo imezinduliwa hivi karibuni nyumbani kwakwe Flora Mbasha (mwenye gauni damu ya mzee) huko Tabata Kisukulu jijni Dar wikiendi hii

Copy%2Bof%2BDSC07470.JPG

Baadhi ya vyombo vya studio hiyo ya Msanii Flora Mbasha vikiwa tayari vimefungwa. Studio hiyo itatumika kurekodi nyimbo za muziki wa Injili na hata kuwasaidia wasanii wachanga wenye vipaji kwa ajili ya kuviendeleza. Flora Mbasha anakuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike wa nyimbo za Injili kufungua studio yake mwenyewe

Huyu dada ambaye watu wanaamini ana upako huwa simwelewi,..kwanza nilimwona kavaa manguo ya kijani mwaka jana kikwete alipotangazwa rasmi kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm,..nafikiri ni mwanachama wa ccm sababu aliwapigia hata debe wakati wa uchaguzi!!sasa hii ya kumwalika lowasa ndo imeniacha hoi,.lowasa amethibitika beyond reasonable doubt kuwa ni fisadi papa,may be iam wrong lakini sina heshima na huyu dada na gospel zake nilishaacha kuzisikiliza
Na mkorogo wake naona sasa umekolea! Hadi miguuni sasa ni Fanta!!!!!
 
Hii tumuachie MUNGU kia mmoja atasimama kutoa hesabu ya yote aliyoyatenda akiwa hai hapa ulimwenguni,Iwe ni EL,F.Mbasha.Kuna siku maji na mafuta yatajitenga tu,na tukumbuke kuwa siku yaja na ipo.
 
1::nilimwona na kavaa nguo za ccm nafikiri mwanachama wa ccm
umeambiwa tukivaa kijani wote ni ccm ama tukienda kwenye sherehe za ccm ni wana ccm akikuliza kadi yake unayo ushahidi

2:lowassa fisadi papa
umeambiwa lowassa yukoo nssr??na kama sio ulitakaa aondoke ccm kwenye mlo

3🙂sina heeshima na huyu dada
umeandikwa wapi heshima inanunuliwa??sidhan kama yeye anaitaj heshima yako hata kidogo...

4)))punguza wivu mwenzio kaona line na wewe tafuta yako tuache wivu wa kijinga soma ulichoandika kabla ya kulalamika

ccm+lowassa+fisadipapa+simheshimu= wapi na wapi

ubarikiwe tena

check hizo red,.we unajua kuwa slaa ni chadema lakini hujawahi kuiona kadi yake ya chama,wapi nimesema nataka kunnua heshima?kanywe supu kam una hangover,..msalimie mjomba ako makamba maana inaonekana una nguo nyingi za kijani!!birds of a feather flock together so do pigs and swine
 
Back
Top Bottom