Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Nakuomba radhi kwa herufi kubwa KUMRADHI, kumbe Mwanamke kamili safi kabisa.We mwanaume kamili umeniona mimi nikimng'ang'ania?!!!Niombe radhi!!! Matola
Ukininyanganya hiyo title basi na wewe Automatically unakuwa umejinyanganya na wewe pia, na kama ukiendorse kwa Mwanaume mwingine unapaswa kufahamu kwamba Dr Manyaunyau ni rafiki yangu kwenye Facebook, kwahiyo nina uwezo wa kuloga online. hapa sitaki mchezo kabisa.Afadhali. . . ningrkunyang'anya hiyo title ya mwanaume kamili ujue!!!
Fixed Point, ungesoma post zangu za kufata ungeona nilivosema: this applies to me and my man. I don't think it is proper for him to flirt, just as he says he doesn't think it is proper for me to flirt with other persons. AshaDii (ambae ni mtu wangu wa karibu na nakubali maoni yake) kasema yeye haoni ubaya. So I insist on saying that kila couple inatakiwa ku-define mtazamo wa flirting na mipaka yake.hivi relatiosship/marriage ni serious kiasi hiki? sijui.......................
kwa upande wangu, kuwa kwenye relation/marriage siyo kwamba ndo unaacha kila kitu na kuangalia jinsi ya kuulinda uhusiano tu. ndo maana mahusiano mengi yanakufa.
binafsi sioni ubaya wa ku-flirt, ubaya unakuja unaposhindwa kujizuia kwenda extra mile. sioni tatizo nikimwita rafiki yangu The Boss baby, sweetie..... au nikimwambia "I love u"
Hivi unavyosikiaga watu wanalogwa unadhani ni mchezo ehheee!! ngoja nikuhadd Fesibuku ndio utawajuwa vizuri rafiki zangu.Matola si ningetafuta mwingine tu?Lolz
Ndio lilikua jibu langu lile.several. haya jibu basi
Ndio lilikua jibu langu lile.
Au ulitaka nisemeje uelewe?
Hahahaha, Karibu.being modest, nakuja usiku basi.
Erry. . .kuflirt na mqanamke mwingine bila kuwa lez?!Sounds weard!!!