twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Hamna kitu ndo tukawa tumepona hivyoNini kilifuata baada ya hapo? hahahahaha
Na kwetu hvyohvyo sijui tumesoma shule mojakwenda kujisaidia na kuoga porini kisa bafu na vyoo ni vichafu
Ukikamatwa na fenes shule basKwenda kuiba mafenesi ya watu
Hii shule itakuwa Arusha nn mkuuHahaaaaa huu uzi umenikumbusha mbali sana nakumbuka kulikua na ticha mmoja alikua bingwa wa kukariri yani hata akiona kisogo tu anajua we ni nani sa siku moja tulikua tunajipikilisha wali kwenye mashimo yaliyotokana na adhabu tulizokua tunapewa za kufyatua matofali, sasa tukasikia sauti ya viatu inakuja upande wetu kucheck hv ni huyo ticha tulichokifanya ni kukimbia huku sketi tumezinyanyua juu kuficha kisogo mwalimu asitujue huku tukiacha sehemu za makalio wazi afu ticha mwenyewe ni wakiume daaah
Hapana mkuuHii shule itakuwa Arusha nn mkuu
Bhasi matukio yamefanana na shule flani hivi miaka flani ivi na teacher flani ivi umri ulikua umeenda kidogo na yeye alikuwa akiona tuu kisogo anajua ww ni nanHapana mkuu
inawezekana mkuu...mi nimepiga kanda ya kaskazini...we wapi mkuuNa kwetu hvyohvyo sijui tumesoma shule moja
Lyamungo ama umbwe nini?Nachokumbuka cha kusikitisha nilifiwa na mwanangu mimi nalala kitanda cha juu yeye chini kwenye Deka aliugua tumbo tu kama masihara akaenda nyumbani karudi shule kapona kumbe ndio anaondoka hivyo ,R.I.P Brother Mungu akipenda tutaonana tena.
Msosi kujazwa mafuta taa
Mengine ni ya kawaida kama kuwafulia mabraza wa form Six na Five ....kupewa sh 50 ukanunue mkate mzima,soda ,na change ibaki mkate wakati huo ulikua 400
Na Disco zetu za mchana na watoto wa Machame Girls ,Kibosho Girls,St Marygoreth,Weruweru nk
P.O.Box inaitwa sijui Lee Pax ,Barua za watoto wa Machame,Marygoreth nk basi kidume ukiitwa assemble kupewa barua yako kichwa kinakua kikubwa (Ujiko) ndani ya barua yenyewe hamna kitu ni kiss before you open ...na makopa kopa tu .....
Ulitokea ugomvi jamaa mmoja wa Six alikula mke ya mwanakijiji akakamatwa akachezea kichapo kesho yake jioni Mungu ndio anajua ,jamaa walitugawa kwenye platoons kikosi kikasonga mbele kwenda kijijini ,wanakijiji walichezea kichapo siku tatu mfululizo ,Jamaa wa CCP wakashindwa tuliza mtiti siku ya nne defender kama 30 hivi zikazingira shule ndio msala ukazimwa
Rubya seminary?Sisi kitimoto ikichinjwa Siku kuu za Bikira Maria ambazo kwa term zinaweza kuwa Tatu au nne.
Hapana jombaaa ,kuna zingine hujazitaja ,na zenyewe ni kongweLyamungo ama umbwe nini?
Hahahaha stemp inafutwa muhuri mpk inaonekana mpya na bahasha za kuchonga kwa kutumia karatasiHahahhaha,umekumbusha tulivyokuwa tunafoji stemp,jamani tunafuta mhuri halafu tunatumia hiyo stemp kutuma barua,pia shida ya maji ndo ilisababisha watu tupige passport size,yaani nilishaapa kamwe wanangu hawawezi kusoma boarding schools