Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 321
jana bana mazoea kweli yanatabu,kila nikifungua inagoma nikamuendea mtu wa IT hapa job na kuanza kugombana nae kwamba kwann wanablok sites?jamaaa innocently akaniambia sio mm nadhani Head office ambayo iko nje ya Tz,kwakweli nilikuwa mnyonge sana jana,nikajua maybe Jf imetekwa but nikaanza kujiuliza nani mwenye huo ujasiri wa kuiteka?
Duh kumbe JF haijatekwa bana,kweli HAWATUWEZIIIIII
Duh kumbe JF haijatekwa bana,kweli HAWATUWEZIIIIII