The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,280
IndeedKwa mtu aliekuwa na 'self destruction ' behaviour kama ubishi na kiburi..tutawasingizia wasiohusika
Only ameji fix mwenyewe
IndeedKwa mtu aliekuwa na 'self destruction ' behaviour kama ubishi na kiburi..tutawasingizia wasiohusika
Only ameji fix mwenyewe
Clues ndo nini tena jamani? KwA ku comment hivi si tutafika comment ya 999 bila kuambulia chochote.
Ride rough in a rough road; and don't expect an accident. Ridiculous!Maccm yamepanga mkakati wa kuilamu tena Chadema kwamba imempa sumu jiwe 😂😂😂😂 unakumbuka kauli ya “Wapinzani wanatuchelewesha” hili la COVID kufanya yake wanataka kulikwepa kwa kila namna “Jiwe hajawahi kupata COVID” 🤣🤣🤣🤣🤣
ThubutuMimi sitaki vingereza vyenu, ninachoweza kukwambia ndugu Nyani jamaa yupo chimbo katulia wala hana shida yoyote bila hizi maneno angekuwa kaibuka siku nyingi ila kwavile watu wamechagua kuongea basi amekaa kimya ili asikie mnaongea nini, yaani kama anavuta fegi basi saivi anamaliza mapakti tu
wengi mlikwenda UPE ( Ualimu Pasipo Elimu) ;Sisi wa LY 1979 tumechoka na hii Sinema ya Ombaomba ,weka ya Lambarda!
minor stoke kutoka kiunoni kwenda miguuni (one side) .....kifua kubana pamoja na tatizo la moyo !! wacha tuone hali inakwendaje !!Wananchi wana haki ya kujua kiongozi yupo na anaendeleaje?
Tunaambiwa anapiga kazi, ana piga kazi wapi? Manake waliompa ajira hawajui yupo wapi.
You can become ill as a result of getting’fixed’.
Didn’t know that?
And the pandemic state of affairs serves as an optimal opportune time to do the
Any speculations as to why he got fixed? I am curious though,,,,,You can become ill as a result of getting’fixed’.
Didn’t know that?
And the pandemic state of affairs serves as an optimal opportune time to do the ‘fixing’.
Think....
kwa hulka yake asinge weza vumilia maneno yote haya!! Jamaa ni kweli anaumwa na si wa kurudi katika hali yake ya kawaida kwa muda mfupi...Mimi sitaki vingereza vyenu, ninachoweza kukwambia ndugu Nyani jamaa yupo chimbo katulia wala hana shida yoyote bila hizi maneno angekuwa kaibuka siku nyingi ila kwavile watu wamechagua kuongea basi amekaa kimya ili asikie mnaongea nini, yaani kama anavuta fegi basi saivi anamaliza mapakti tu

because he's become a threat to the very existence of the nation itselfAny speculations as to why he got fixed? I am curious though,,,,,
Covidol, bupiji, nyunguAny speculations as to why he got fixed? I am curious though,,,,,
Nyani Ngabu, what truth do you represent to the fora?I’m not big on conspiracy theories.
But in the absence of veracious information, what’s one to do?
Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep?
Nah! Not for a thinking man.
I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as much bases as possible.
So, with that being said, I have a question.
How likely is it that he’s [you know who] been ‘fixed’?
If I were to hazard a guess I’d say because he has ruffled a lot feathers within the system and along the way, and with the pandemic serving as a perfect and an expedient backdrop, it was just a matter of time before they caught up to him....and did what they had to do.
How does that sound? Too far-fetched?
I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.
✌️
Noted! Wise narrations.I do not think he was fixed at all, signs were in plain sight since last year when he started moving around with the air cooler. During the campaign he wasn't as active as he was the previous election by taking extended resting periods after every few days on the campaign trail.
Even if the state machinery was going to work to ensure his landslide victory still he was well below his usual self on the road. The govt must come out and say what is troubling our dear no 1 citizen to kill all the rumours. Mkapa, Kikwete they got sick during their presidencies and the public was told about the situation. God bless Tanzania
English pleaseI’m not big on conspiracy theories.
But in the absence of veracious information, what’s one to do?
Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep?
Nah! Not for a thinking man.
I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as much bases as possible.
So, with that being said, I have a question.
How likely is it that he’s [you know who] been ‘fixed’?
If I were to hazard a guess I’d say because he has ruffled a lot feathers within the system and along the way, and with the pandemic serving as a perfect and an expedient backdrop, it was just a matter of time before they caught up to him....and did what they had to do.
How does that sound? Too far-fetched?
I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.
![]()
Nadhani lugha ya kwanza imeeleweka zaidi kuliko hii,kama kutafsiri hii ndo inahitaji kutafsiriwa.sikuwahi kujua kama kiswahili ni kigumu hivi?For Swahili Audience 😅
Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu.
Ninajishughulisha na kila kitu, kuhakikisha kuwa ninashughulikia besi nyingi iwezekanavyo. Kwa hivyo, na hayo yakisemwa, nina swali. Kuna uwezekano gani kwamba yeye 'amerekebishwa? Ikiwa ningehatarisha nadhani ningesema kwamba ameunganisha manyoya mengi ndani ya mfumo na ilikuwa tu suala la muda kabla ya kumshika .... Mimi ni sayin tu. Mimi sio sayin '. Lakini unajua ninachosema '.
I’m not big on conspiracy theories.