Nimesoma comments karibu zote kwenye huu uzi. Nimegundua kuna baadhi wamemwelewa komredi
Nyani Ngabu na wengine wametoka kabisa nje ya mada....
Wale wabobevu kwenye movies wamerelate na movies, wale wanaojifanya wabobezi kweye intelijensia wameangukia humo, wengine wameangukia kwenye mienendo ya kisiasa... ili mradi ni vululuvululu...
Sisi walevi tumebakia kuamini tunachoekezwa na pombe.... tuko kwenye mabishano hivi sasa kati ya "ku-fix" na "ku-take care of" kipi kina uzito kwenye hii conspiracy theory.....