‘Fixed’?

‘Fixed’?

Tanzania haijawahi kua tishio kiuchumi na kiusalama kwa nchi ambazo zingeweza kujaribu kufanya hivyo.

Kwangu hii nadharia naona bado ni nyepesi kwakua ingawa amekua mtata (Makinikia, Msouth n.k) ila mwisho alikaa nao chini au kufika mahakamani.

You don't fix such a person. Kim? Ningeelewa. Ayatollah? Ningeelewa.
 
Tanzania haijawahi kua tishio kiuchumi na kiusalama kwa nchi ambazo zingeweza kujaribu kufanya hivyo.

Kwangu hii nadharia naona bado ni nyepesi kwakua ingawa amekua mtata (Makinikia, Msouth n.k) ila mwisho alikaa nao chini au kufika mahakamani.

You don't fix such a person. Binafsi yangu hii nadharia ni nyepesi mno kuweza kuikubali.
Kwani ni lazima mtu awe ‘fixed’ na watu wa nje?

Umesahau kuwa kikulacho ki nguoni mwako?
 
Kwani ni lazima mtu awe ‘fixed’ na watu wa nje?

Umesahau kuwa kikulacho ki nguoni mwako?
Shambulio pekee kwa aliyewahi kua rais Tz baada ya nchi yetu kukubali demokrasia linabaki la jamaa aliyempiga kibao Mwinyi.

Nafikiri hakuna mwenye hamu ya kujaribu kumtandika Rais mwingine kibao au kuvuka stage ya kibao mpaka kwenye fixing.
 
Nimewaza sana.....jamaa wakaamua kutumia fursa ya Covid kufanya mambo yao.
Haa wapi, ule ugonjwa noma mkuu. Alafu ujifanye mbishi uanjichanganya hovyo hovyo.

Alichokifanya ni ubinafsi, kiongozi huwezi kujiachia vile kwenye gonjwa la mlipuko. Kinachoendelea sasa hivi BUS linakwenda bila dereva.

TRUMP nae walimfanyia mambo? Si alikuwa kichwa ngumu na baada kuugua akaenda kuchoma chanjo kimya kimya.
 
Well, kwa vile hatujui kinachomsibu, ngoja tuendelee kubashiri...
 
I’m not big on conspiracy theories.

But in the absence of veracious information, what’s one to do?

Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep?

Nah! Not for a thinking man.

I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as much bases as possible.

So, with that being said, I have a question.

How likely is it that he’s [you know who] been ‘fixed’?

If I were to hazard a guess I’d say because he has ruffled a lot feathers within the system and along the way, and with the pandemic serving as a perfect and an expedient backdrop, it was just a matter of time before they caught up to him....and did what they had to do.

How does that sound? Too far-fetched?

I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.

Fixed na Mabeberu au hayo Manyoya aliyoyaunga ?
 
Kwa mtu aliekuwa na 'self destruction ' behaviour kama ubishi na kiburi..tutawasingizia wasiohusika
Only ameji fix mwenyewe
Naaam
bf83ff88917cdfc09ebb7697848831a2.jpg
 
Shambulio pekee kwa aliyewahi kua rais Tz baada ya nchi yetu kukubali demokrasia linabaki la jamaa aliyempiga kibao Mwinyi.

Nafikiri hakuna mwenye hamu ya kujaribu kumtandika Rais mwingine kibao au kuvuka stage ya kibao mpaka kwenye fixing.
Hata Mwinyi, si alizabwa kibao baada ya kustaafu au siyo?

Sioni picha hilo likitokea wakati akiwa amezungukwa na mabunduki kama alivyo huyu wa sasa.
 
For Swahili Audience 😅

Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu...
Sasa huu ni uchochezii huku unajua kabisa kingereza kinawapoteza Mataga wengii, wameshapata picha DaVinci alimaanisha nini 🤣🤣
 
With folded hands, thank you so very kindly.

This is not the first time you expressing your admiration.

You are appreciated.
Mimi sitaki vingereza vyenu, ninachoweza kukwambia ndugu Nyani jamaa yupo chimbo katulia wala hana shida yoyote bila hizi maneno angekuwa kaibuka siku nyingi ila kwavile watu wamechagua kuongea basi amekaa kimya ili asikie mnaongea nini, yaani kama anavuta fegi basi saivi anamaliza mapakti tu
 
Back
Top Bottom