Fitina ya mwondoa Mzee Chizi ATCL

hizi ndo zimecost usd 50,000...hata mwenge wangeshonewa

550871_10150845459575986_369685603_n.jpg
Yaaani watu wabaya, nguo mbaya, malipo mabaya ! Chizi kweli Chizi !!:boxing::A S 100:
 
Me nashangaa wanao sema katibu wa wizara ndio hanatakiwa kuwajibishwa kwa lipi hasa ambacho kafanya maana nimesikia mwanzo mwisho mazungumzo ya mwakyembe na wafanyakazi wa atcl na ameongea bila kujiumauma kuhusu mtiriliko mzima wa matukio ya management ya chizi na nifurahi sana kwa kusema ukweli sasa wanaosema katibu mkuu hanamaatatizo wayaseme matatizo yake m
aana nimesikia upande wa wizara bado wa chiz unaomtetea na hao clouds wanamambo ya ajabu sana hasa pj leo kachemsha sna halipo mwambia hando baada hando kuleta jokes kwamba anataka nafasi ya chiz akamwambia hawez kupata kwa kuwa yeye ni wakaskazin hapo pj umechemsha sna nataka kupata taarifa kutoka kwa chizi yeye ansemaje baada ya jana

Kaka unapoint lakini jifunze matumizi ya “h“ na “I“ kiongozi.. Kwenye I ukiweka H tu basi ujue umekanusha na kubadili maana ya neno au sentensi!
 
Ndugu wasomaji, ninawashauri kuwa jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Pengine utaniuliza, wewe umesimama wapi? Nataka nikuambie mimi sisimami popote(kwa maana ya kuwa mimi nasimama katikati). Kati yangu mimi na wewe hakuna anyejua chochote na kama unajua huwezi kujua kwa undani na kwa usahihi vizuri. Katikati ya wimbi zito la sintojua, humo ndani zikiwepo siasa interest, ushindani interest, roho mbaya interest, chuki interest, maslahi interest, ukabila interest, ufisadi interest na bila kusahau kuzidiana kete na kuzidiana akili interest nk ni vigumu kuweza kuupata ukweli tunaoutaka.

Ni sawa tunavyofanya kwa kila mtu kutoa mawazo yake kwa jinsi anavyoona, lakini nakushauri usipende kuchuma dhambi bila sababu ya msingi. Toa wazo lako lakini ogopa kuhukumu. Jambo unalomfanyia mwenzio siku moja utavuna hilohilo. Na si hivyo tu, unapohukumu ujue umemtangulia Mungu ajuaye vitu vyote. Katika utoaji wa wazo lako NAKUSHAURI ACHA NAFASI YA KUTO KUJUA, ILI YULE ANAYEJUA ZAIDI YAKO ATAKAPOJIELEZA AWEZE KUPATA NAFASI KWENYE MOYO WAKO BILA KUKUAIBISHA

Kama jambo hulijui na huna mawazo mbadala ni bora ukakaa kimya kuliko kukurupuka na kuandika imla zisizo na mahudhui kwa hadhira husika.Kwa maoni yangu hayo uliyoandika (red) ni u-p-u-p-u mtupu. Ujuaji mwingi bila kuelewa maana ya jambo/mada ni ujinga.Jifunze mengi kwa wenzako kuliko kutoa majumuisho kana kwamba wewe ni mjuaji zaidi.
 
Kama jambo hulijui na huna mawazo mbadala ni bora ukakaa kimya kuliko kukurupuka na kuandika imla zisizo na mahudhui kwa hadhira husika.Kwa maoni yangu hayo uliyoandika (red) ni u-p-u-p-u mtupu. Ujuaji mwingi bila kuelewa maana ya jambo/mada ni ujinga.Jifunze mengi kwa wenzako kuliko kutoa majumuisho kana kwamba wewe ni mjuaji zaidi.


ndivyo tulivyo kaka,tuvumilie tu
 
haya kaka sina la kuongeza uko sawa kimtizamo
lakini kumbuka kama walichaguliwa wakiwa vimodo enzi hizo bado utendaji wao unahitajika.
I hope when mama desi will be overkanen by age you wont go after new products in town.
....Maybe you are right comrade Lokissa but aint we all entitled to our different mitizamos...?! :smiling:
 
Back
Top Bottom