engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Haya wakuu
ktk magazeti ya leo,inaonekana kuenguliwa kwa mzee Chizi ni fitina ya baadhi ya wakuu baada ya Mh huyo wa ATCL kuminya mianya yote ya kula pesa iliyokuwa ikifanywa na baadhi ya wakuu hapa Tanzania.
baada ya Chizi kupewa Nafasi ya kukaimu Ukurugenzi ndani ya ATCL alizuia utengenezaji wa ndege nje ya nchi na kuanza kutumia wataalamu wa ndani ya tanzania jambo ambalo baadhi ya wakuu hawakupendezwa nalo kwani limesababisha kuwanyima ulaji wao,na pia Chizi alijitahidi kubadirisha bei za ndege ili ziwe sawa na bei za ndege nyingine na hii ilivutia wasafiri wengi kuweza kuitumia ATCL lakini wakuu wengi waliudhika kwani maslahi yao ktk ndege nyingine yalianza kupungua
na ndio maana hata wakati ile ndege mpya ilipokuwa ikipaa angani viongozi kutoka wizarani hawakuhudhuria ktk hafla hiyo na hii ni kuonyesha kuwa viongozi hao hawakuwa tayari kumuunga mkono mkurugenzi Chizi labda kwa yeye kuleta ndege mpya na hili limesababisha kupunguza maslahi yao binafsi
WAZIRI MWAKYEMBE labda atoe hizo taratibu ama kanuni zilizokiukwa ili watanzania wajue
chanzo clouds fm,kipindi cha asubuhi 7/6/2012 na akina PJ,walikuwa wakisoma habari ktk gazeti la majira