Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,367
Endelea kujidanganya tu, ukija kuelimika ndipo utajuwa ukweli.Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍
Endelea kujidanganya tu, ukija kuelimika ndipo utajuwa ukweli.Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍
Sawa kuwa waziri si hoja, wananchi hawawataki WaislamDunia nzima!?.. waislam ni zaidi ya robo ya dunia,wapo kila nchi, UK wameshakua waziri mkuu, Scotland waziri 'mkuu',mamdani anatetemesha New York, biblia inasemaje kuhusu wahubiri wake kupigwa vita na wengi!?
Kumbe anajifanya Zitto Kabwe, Jr. kwa unafiki.Anatumia akili kuteka akili za warabu ili aendelee kuaminiwa
Sema baadhi ya wananchiSawa kuwa waziri si hoja, wananchi hawawataki Waislam
Nilljua tu Bi ushungi lazima uwahi hapaAllahu Akbar.
Amesema ni tetesi wewe unajibu "Allahu"? Au ni kweli?Allahu Akbar.
Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍Endelea kujidanganya tu, ukija kuelimika ndipo utajuwa ukweli.
Ungekamilika msingekuwa mnatumia uwongo kudanganya watu na mkiambiwa ukweli mnaua kwa kuogopa kuyajuwa mliokuwa hamyajuwi.Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍
Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍Ungekamilika msingekuwa mnatumia uwongo kudanganya watu na mkiambiwa ukweli mnaua kwa kuogopa kuyajuwa mliokuwa hamyajuwi.
Ya kwao alishaachana nayo toka akiwa kwao kwa kuukumbatia galatians, alichofanya sasa ni muendelezo tu.Ataangaika awezavyo lakini mwisho wa siku asisahau kuitolea mizimu ya pale kwao DRC sadaka, ni jambo muhimu kwa mustakabali wakee, asijikite kuabudu mizimu ya watu wengine akasahau ya kwao
Hiyo sio habari ya kutuletea humu, mbona Kuna waislami wengi sana kwa MwamposyaI will be short
Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️
Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion.
Kibongo bongo
Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa
View attachment 3401021
===
Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu
Katikati ya mafanikio yake ya soka, kumekuwa na taarifa kwamba Mayele amepitia mabadiliko makubwa ya kibinafsi. Kwa mujibu wa mwandishi mashuhuri wa michezo wa Misri, Amr El Dardir, ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni 1.5 kwenye Facebook, mshambuliaji huyo amesilimu na kujiita jina la “Mahmoud Mayele.”
Ingawa Mayele bado hajatoa tamko rasmi kuthibitisha kusilimu kwake, vyanzo vinaeleza kuwa uamuzi huo ulifanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hatua hiyo iliyoripotiwa imepokelewa vyema na mashabiki pamoja na wachezaji wenzake, wengi wakimsifu kwa ujasiri wake wa kuukubali imani mpya katika kipindi muhimu cha taaluma yake.
Source: MSN
Dogo, endelea kujidanganya tuUislamu umekamilika Mash'Allah 😍
Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍Dogo, endelea kujidanganya tu
Anataka mke 4.I will be short
Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️
Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion.
Kibongo bongo
Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa
View attachment 3401021
===
Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu
Katikati ya mafanikio yake ya soka, kumekuwa na taarifa kwamba Mayele amepitia mabadiliko makubwa ya kibinafsi. Kwa mujibu wa mwandishi mashuhuri wa michezo wa Misri, Amr El Dardir, ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni 1.5 kwenye Facebook, mshambuliaji huyo amesilimu na kujiita jina la “Mahmoud Mayele.”
Ingawa Mayele bado hajatoa tamko rasmi kuthibitisha kusilimu kwake, vyanzo vinaeleza kuwa uamuzi huo ulifanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hatua hiyo iliyoripotiwa imepokelewa vyema na mashabiki pamoja na wachezaji wenzake, wengi wakimsifu kwa ujasiri wake wa kuukubali imani mpya katika kipindi muhimu cha taaluma yake.
Source: MSN
Utabakia hivyo hivyo kujidanganya wakati firahunii Muddy anawacheka huko motoni alipo.Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍
Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍Utabakia hivyo hivyo kujidanganya wakati firahunii Muddy anawacheka huko motoni alipo.