Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,751
- 13,827
Hata ronald alisilimu uarabuni. Pesa za waarabu ukitaka kuzipgia kiurahsi jifanye kuwa ni muislamu. Utawala hadi wake wao.
Hata ronald alisilimu uarabuni. Pesa za waarabu ukitaka kuzipgia kiurahsi jifanye kuwa ni muislamu. Utawala hadi wake wao.
Ukiacha akili yako iwe huru na ukawa mtu wa dini kama mayele,utasilimu tuKishapoteza dira ya maisha, hivi hana washauri wa kumshauri mazuri ya dunia kweli? Asipo angalia vizuri atajishitukia anakuja okota makopo na kuongea peke yake huku akipiga punyeto mitaani. Uislam huu jamani ni zaidi ya tuujuavyo, ni full vituko tu.
Kasilimu mayele wanaumia wengineHakuna kibaya, Mayele kaona fursa ndio anazitumia vizur, hapo Misri kobaz watamchukulia kama mtume Mudi full kummwagia mapesa
Ukitaka kuwa exploit kobaz ishi nao wanavyotaka, Mimi kipindi naishi Zanzibar badala ya kuniita Marco Polo walikuwa wananiita Mudi Polo nimetafuna sana vitoto vya kiarabu na vipemba mwishowe mkuu mmoja wa kobaz maeneo Yale akataka anipe nyumba Ili nimuoe mtoto wake nikachomoa.
Asalam aleykum shekhe, khairy ?Ni vema na khaki ndugu zanguni mtu kufanya chochote anachotaka ilimradi asivunje taratibu za nchi.
Monetary doctor ndugu yangu katika imani wasema nini hapa.
Uzi ume kuwa temperedIla mwamba kingereza hujui kabisa asee dah!
Ukiwa Roma ishi kama waoI will be short
Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️
Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion.
Kibongo bongo
Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa
View attachment 3401021
===
Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu
Katikati ya mafanikio yake ya soka, kumekuwa na taarifa kwamba Mayele amepitia mabadiliko makubwa ya kibinafsi. Kwa mujibu wa mwandishi mashuhuri wa michezo wa Misri, Amr El Dardir, ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni 1.5 kwenye Facebook, mshambuliaji huyo amesilimu na kujiita jina la “Mahmoud Mayele.”
Ingawa Mayele bado hajatoa tamko rasmi kuthibitisha kusilimu kwake, vyanzo vinaeleza kuwa uamuzi huo ulifanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hatua hiyo iliyoripotiwa imepokelewa vyema na mashabiki pamoja na wachezaji wenzake, wengi wakimsifu kwa ujasiri wake wa kuukubali imani mpya katika kipindi muhimu cha taaluma yake.
Source: M
Nilitoka huko baada ya kuelimikaWewe muislamu?
Monetary doctor tupe mbili tatu kidogo huko kwenu uislamuniAsalam aleykum shekhe, khairy ?
Hapana Mungu mwingine isipokuwa mola mlezi wetu ambaye ni Allah Hana mshirika na yeyote na wala kitu chochote,
Takbir
Kaka karibu kwenye dini ya khaki 😍Monetary doctor tupe mbili tatu kidogo huko kwenu uislamuni
Kaka kwani ukristo sio dini ya haki ?Kaka karibu kwenye dini ya khaki 😍
Aisee, kwa kweli Zanzibar walikudharau, huoni kama ulidhalilishwa kufananishwa na Muddy kweli, si unajuwa sifa zake?Hakuna kibaya, Mayele kaona fursa ndio anazitumia vizur, hapo Misri kobaz watamchukulia kama mtume Mudi full kummwagia mapesa
Ukitaka kuwa exploit kobaz ishi nao wanavyotaka, Mimi kipindi naishi Zanzibar badala ya kuniita Marco Polo walikuwa wananiita Mudi Polo nimetafuna sana vitoto vya kiarabu na vipemba mwishowe mkuu mmoja wa kobaz maeneo Yale akataka anipe nyumba Ili nimuoe mtoto wake nikachomoa.
Uislam dini ya haki toka lini, unasemaje kuhusu kutupiana majini, kuchinjana, kusomeana albadiri, kuvaa mabomu mwilini na kujilipua?Kaka karibu kwenye dini ya khaki 😍
Never, Uislam si dini ya mtu anayependa haki kuifuata....jiulize kwanini dunia nzima inaipinga hiyo dini?Ukiacha akili yako iwe huru na ukawa mtu wa dini kama mayele,utasilimu tu