MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
CCM inawatu wabaya sana. Walikuwa wakinitabiria kifo kwenye uchaguzi mkuu uliopita, kama huko imara unaweza kukata tamaa na ukaamini utakufa kweli, huwezi kumtabiria mwenzako kifo wakati hujui kesho yako. Nani atakufa nanani ataishi ni siri ya Mungu, wanadamu hatupaswi kuingilia. Namshukuru mwenyezi Mungu amenipigania na sasa niko imara zaidi, baada ya kumaliza ziara kisiwani Zanzibar, sasa natangaza kwenda mkoani Kagera wiki ijayo Kwa ziara ya kichama. "MWISHO WA KUNUKUU.
NIPO FITI KIAKILI KIMWILI.. SIPIGI PUSHAP ME SIO BAUNSA
NIPO FITI KIAKILI KIMWILI.. SIPIGI PUSHAP ME SIO BAUNSA