Fisadi Benjamin Mkapa yuko na fisadi Edward Lowassa

Rev.Mtikila alikuwa anadhani hizi pumba zake watu watameza tu bila kupeta hawezi kuja anachungulia tu uzi wake.
Kuna tetesi, jamaa wanaziandika hapo juu kuwa Mtikila ameukana huu uzi pamoja na hii ID!

teh teh teh !!! Alidhani hizi porojo zake zitapita hivi hivi, Kumbe watu bado wana kumbukumbu ya jinsi alivyopokea fedha za ROSTAM halafu leo anamuita fisadi.
 
Teh teh teh!!!

Naona ID yake ni Verified ina posts 2 bahati yake huu uzi wake Mod wamemuokoa sana wamefuta posts zangu nyingi.
 
Rev.Mtikila huwa ana tabia ya kutishia nyau ili avutiwe mkwanja anyamaze, lakini hiyo style sasa imepitwa na wakati.

Anadhani anaweza kuvuta fedha kwa kila mgombea, kumbe wagombea wengine hawatumii fedha, ni nyota tu inawaka!!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nimeona hivyo hivyo mkuu. Nafikiri tunachotakiwa ni kuchukua yale ya msingi na yale ya kiimani za kidini tumwachie mwenyewe.

Sasa mkuu hayo ya kidini tutamuachia nani wakati yanatuusu wote?
 
Rev.Mtikila huwa ana tabia ya kutishia nyau ili avutiwe mkwanja anyamaze, lakini hiyo style sasa imepitwa na wakati.

Anadhani anaweza kuvuta fedha kwa kila mgombea, kumbe wagombea wengine hawatumii fedha, ni nyota tu inawaka!!
Unajua Rostam Aziz muhuni sana alivyokuwa anampa pesa za kula alikuwa anamsahinisha huku CCTV zinamchukuwa.

Njaaa mbaya mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Unajua Rostam Aziz muhuni sana alivyokuwa anampa pesa za kula alikuwa anamsahinisha huku CCTV zinamchukuwa.

Njaaa mbaya mkuu.
Teh teh teh..Rostam alimkomesha Mtikila.

Mpaka Kesho ushahidi unaomuonyesha mchungaji feki akikwarua mkwaja upo.!!!

Mtikila asipoacha hizi njaa zake ataumbuka sana, bora aendelee kuchukua sadaka kutoka kwa misukule wa kanisani kwake.
 
Halafu na mshangaa sijawahi sikia chaguzi za Ndani ya Chama Chake!.... Ama yeye ni mwenyekiti wa kudumu..?

Hii ni kweli, hata mimi sijawahi kusikia mkuu! Kuna mwanachama wa DP humu wakuu?
 
Hi kwani yeye mchungaji hana chama chake? Hana mpango wa kwenda ikulu? Si atumie huu mda kumwaga sera za chama chake kujijenga kuelekea ikulu?

Sasa kama kazi yake ni kumjengea mgombea wa ccm kati ya wagombea waliojitokeza kwenda ikulu basi HAFAI kwani hakuna mtu mwenye uchungu na nchi hii atakayependa kuona ccm inarudi madarakani.

Kuliko kuwa kuwadi wa mwanamme mwenzako bora uende marekani ukatafute mwanamme wa kukuoa maana kule wanaume kuona wenyewe kwa wenyewe ni rukhsa.
 
Tumchangie rev. mtikila hali na mali chochote ulichonacho
 
Mtikila anataka kuvuta tu kwa Lowasa ili akae kimya.

Zake hizo...

ROSTAM AMUUMBUA MCH. MTIKILA Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz , ameibua madai mapya na mazito, akisema kuna watu wazito na maarufu nchini wanapiga kampeni chafu dhidi yake huku akianika hadharani stakabadhi ya malipo ya shilingi milioni tatu alizompa mwenyekiti wa chama cha Democratic Party DP mchungaji Christopher Mtikila. Akizungumza kwa mara ya kwanza na Vyombo vya habari tangu awe mbunge kwa miaka 16 sasa, ikiwa pia na baada ya kuibuka mjadala wa kudaiwa kutumia kanisa kujisafisha, Rostam aliyaita matamshi ya Mtikila kuwa ni yenye uhusiano na kampeni chafu zinazoendeshwa na mtandao wa watu wazito na maarufu nchini dhidi yake. Hata hivyo hakuwataja. Katika hotuba yake ya maandishi , Rostam alisema haoni kosa kuchangia sh 7 miliono kwa kwaya ya Amkeni katka kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania -KKKT , Usharika wa kinondoni, kwani hata Mtikila aliwahi kumwomba shilingi milioni tatu kwa ajili ya ujenzi wa kanisa, ambazo alimpa April 14,2008 kisha akatia saini. "Fedha zangu ni pato langu halali linalotokana na jasho langu ,kutokea mwaka 1852 huko Tabora kwa mababu zangu. Na kwa kutambua fedha zangu ni halali , hata Mtikila mwenyewe April 14,2008 , alikuja kuniomba nikampa na akaupokea mchango wangu wa shilingi milioni tatu kuendeleza shughuli za kanisa lake". ( Source Mwananchi)

Copy and WIN : Trade the global markets
 
Naona umerudi jf kwa spidi ya light
 
Kuna Mashoga humu, wanajitekenya na kucheka wenyewe. Ni madhara ya bei poa.....

1356160893_8340_150x200.jpg
 
Mkapa na Kikwete walivunja katika ya nchi ibara ya 18, inayosema haitakuwa halali kwa chama chochote kupigania maslahi ya dini au kundi lolote" iwapo chama kitafanya hivyo kitafutiwa usajiri.

Tungependa Mtikila afungue kesi hii ya kikatiba.
 
= usajili

Kwanini usiende kufunguwa wewe hiyo kesi na upende mwanamme mwenzio akakufungulie kesi? Au unajishuku uanamme wako?
 
Wana JF,

Serikali iliyokuwa ovyo sana kuliko zote ni ya Mkapa, baada ya kubinafsisha vitu vyote, waliovichukua wakavigeuza aiza mashule (pugu Mwisho wa lami) wakawauzia wakina barekhesa (Tazara NMC) vingine wakauzia wahindi maeneo yote ya pugu road eneo la viwanda, serikali ya sasa inapanga kwao sehemu ya kuhifadhia magodown, ukiwauliza fedha za kuuza viwanda na sehemu muhimu za viwanda zilifanya nini ? hawana jibu kumbe imeishia tumboni kwao.
 
Back
Top Bottom