Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,922
- 4,716
Mtkkila mhh ngoja ngwajima akusikiee utakula vyombo vyako
Tutafika Tuu.
WAFUASI WA LOWASA WAMCHAFUA RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA.
Baada ya kuona kuwa safari yao ya matumaini inafikia ukingoni leo,kambi ya lowasa yaanza kumchafua Mzee Mkapa.
Kambi hiyo imeandika waraka unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa jina na Mwitikila ukimuhusisha Mzee Mkapa na Ufisadi wa Lowasa.
Nimeongea na Mzee Mwitikila kaniambia hajafanya hivyo.
Kambi hii inaendelea na fitina zake za uongo wa chini kwa chini wa kumchafua kila wanayemwona anawapinga.
Taarifa hiyo ni ya uongo, ni ya kutaka kumtengua mzee mkapa katika msimamo wake wa kupinga mifumo ya wizi na rushwa, na ya kinyonyaji ndani ya chama na serikali.
Fisadi Benjamin Mkapa ndiye aliyevunja Katiba ya Nchi yetu Ibara ya 26, Ibara ya 27 na Ibara ya 19 kwa kupokonya Chuo Kikuu cha TANESCO kilichokuwa kikizalisha wataalamu wetu wenyewe wa nishati, akawapa Waislam!
Hizi ni chuki za Mtikila dhidi ya Waislam mnataka watu takae kimya?