Kuna mambo ya msingi kayasema. Ila msukumo wa imani za kifini ndo umesababisha mada yake ikose maana
Ameharibu kabisa kusudio la bandiko lake
Kuna mambo ya msingi kayasema. Ila msukumo wa imani za kifini ndo umesababisha mada yake ikose maana
Imefanyiwa verification, ondoa wasiwasi. Karibu Rev.Mtikila
Salama kabisa...Salaam Wana wa Tanganyika'
Hii mada hamuhusu Rostam bali fisadi mamvi endelea kujitoa ufahamu ICU inawasubiri kuanzia jumapili.Rev.Mtikila hao unawaita mafisadi ndio umekuwa ukipita kwao kuomba fedha za kujikimu na familia yako.
Unakumbuka Rostam alivyokuumbua na ile petty cash document aliyokusainisha?
Unatumia Tecno nini soma hiyo pdf Rostam katajwa sana tu download au una MB 8.Hii mada hamuhusu Rostam bali fisadi mamvi endelea kujitoa ufahamu ICU inawasubiri kuanzia jumapili.
Huyu Mtikila mbaguzi na chuki zake na Waislam msome vizuri anasema Waislam wamepewa chuo bure kwani Waislam siyo watanzania hawalipi kodi, mbona kila mwaka serikali inatoa mabilioni kwa Kanisa.Mwaga mboga mzee Mtikila.
Huyu Mtikila mpumpumbavu na chuki zake na Waislam msome vizuri anasema Waislam wamepewa chuo bure kwani Waislam siyo watanzania hawalipi kodi, mbona kila mwaka serikali inatoa mabilioni kwa Kanisa.
Membe kampelekea mgao wa Yale mabilioni ya marehemu Gadafi kwa kifupi kanunuliwa na Membe aungane na Nape na Makonda kumchafua lowasaYaani huyu Mchungaji alishanifanya nisukumize gari yake mwanzoni mwa miaka ya 90.. Unfortunately huyu wa sasa hivi sio yule hata kidogo.. Huyu wa sasa ameshindwa kusimamia yale aliyokuwa anayaamini na mbaya kabisa kumbe hata yeye ana price..! Hata haya aliyoyaandika hapa ninaamini hayatokani na imani yake toka moyoni.. Lazima atakuwa anaitumikia kambi moja inayotaka uraisi..
Ukiwa kama mwenyekiti wa chama cha upinzani kuingilia mchakato wa ndani wa CCM ni kutaka kutuaminisha kuwa mteule wa CCM ndio atakaekuwa rais..au basi una team unayoichezea huko CCM.
Huyo nae amechanganyikiwa.. Aongelee mambo ya DP, ya CCM awaachie wa CCM wenyewe!!
Mgombea yoyote atakayeletwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho... hizi tabia za kutafuta kick za kijinga sijui itaisha lini tanzania.. Simamia maadiloi ndani ya chama chako, ya wengine waachie wenyewe