njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
Halafu na mshangaa sijawahi sikia chaguzi za Ndani ya Chama Chake!.... Ama yeye ni mwenyekiti wa kudumu..?
Kwani ccm kuna ambaye siyo fisadi?mamvi atakufa kwa presha
Why now.....????
Why now.....????
Kumbe Mkapa nae ni mshezi huyo upande wa wezi wakati kuna vijana wake walimsaidi katika kipindi chake vizuri lakini hawaoni kama wanamaana bali anaungana na wezi ,
Mimi hata katibu simjui anyway afanye vyovyote majambazi yang'oke oktoba!
Halafu na mshangaa sijawahi sikia chaguzi za Ndani ya Chama Chake!.... Ama yeye ni mwenyekiti wa kudumu..?
Pia, mchungaji Mtikila makala yake imesheheni ubaguzi na uadui wa dhahiri dhidi ya Waislamu.
Mbaya kabisa hizo elements za kibaguzi.
Kweli Uchaguzi wa Tanzania ndio 'the biggest show in Tanzania'
na JF ndio 'the place to be'
Sasa Mtikila kajoin JF maalum kwa uchaguzi huu
kweli Tanzania kila siku kuna jipya