Fisadi Benjamin Mkapa yuko na fisadi Edward Lowassa

Mpaka hapo tutajua nani anafaaa kuitwa mpumb@vvvvv mkuuu
 
CCM lazima iondolewe kwa manufaa ya umma .. hakuna namna tena ... otherwise tutaishia kuuana wenyewe kwa wenyewe ikitokea wameiba kura zetu ...
Wana JF,

Serikali iliyokuwa ovyo sana kuliko zote ni ya Mkapa, baada ya kubinafsisha vitu vyote, waliovichukua wakavigeuza aiza mashule (pugu Mwisho wa lami) wakawauzia wakina barekhesa (Tazara NMC) vingine wakauzia wahindi maeneo yote ya pugu road eneo la viwanda, serikali ya sasa inapanga kwao sehemu ya kuhifadhia magodown, ukiwauliza fedha za kuuza viwanda na sehemu muhimu za viwanda zilifanya nini ? hawana jibu kumbe imeishia tumboni kwao.
 
Pia waliuziana viwanda vya korosho na sasa badala ya kuviendeleza wamevigeuza maghala
 
Ccm ishukuru Watz wengi ni wajinga laiti watz tungelikuwa kama Wakenya au wazambia tungeshaisahau ccm ktk ulimwengu huu
 
Mimi siamini kama serikali inatakiwa kufanya biashara yeyote ili zaidi ya ulinzi na usalama, miundo mbinu, Afya na elimu basi.Lakini siamini kama kampuni za serikali zilikuwa au zitasaidia nchi yetu. Hizo biashara zilikuwa ni za hasara na sehemu ya wachache kuiba na watu wengi wametajirika na uizi huu. Serikali inatakiwa kuondoka na kuzuia vitu ambavyo vinazuia maendeleo na watanzania wenyewe wanaweza kujiendeleza mfano vibali vya viwanja kuchukua miaka 4 kupata hii inarudisha maendeleo nchi, rushwa bandarini, kodi zisizo na maana, umeme wa kubahatisha, maji safi, barabara zenye usalama, mfumo mzuri wa elimu na afya. Hivyo tatizo sio serikali kuwa na vitu vingi ni serikali kufanya kazi yake ya kiserikali vizuri mikopo kwa sasa ya biashara ni asilimia 20%-25% vitu kama hivi ndiyo serikali isaidie. Nchi haziendelei kwa serikali kumiliki vitu vingi bali serikali kumiliki vitu vichache ambayo watu wa kawaida hawawezi kumiliki. Ni bora barekhesa ameajiri watu, katumia faida kununua meli, ana nunua mazao ya wananchi n.k serikali ingekuwa na hizo godauni halafu wana wafanyakazi 20 na pesa inaishia mifukoni ingesaidia vipi nchi!Barekhesa ni mmoja kati wa walipa kodi wakubwa wakati ingekuwa ya serikali wananchi ndiyo wangekuwa wanatoa pesa kuendesha kwa hasara na kufaidisha wakina Idd Simba type!!! huu ni mfumo wa kibepari ujamaa umeshidwa
 
Nakubaliana na mleta mada lakini bahati mbaya umesahau kumtaji waziri mkuu wa hiyo serikali ya Mkapa, Sumaye ambaye ndiyo aliyekuwa anasimamia kazi zote za serikali.
 
Mimi siamini kama serikali inatakiwa kufanya biashara yeyote ili zaidi ya ulinzi na usalama, miundo mbinu, Afya na elimu basi.Lakini siamini kama kampuni za serikali zilikuwa au zitasaidia nchi yetu. Hizo biashara zilikuwa ni za hasara na sehemu ya wachache kuiba na watu wengi wametajirika na uizi huu. Serikali inatakiwa kuondoka na kuzuia vitu ambavyo vinazuia maendeleo na watanzania wenyewe wanaweza kujiendeleza mfano vibali vya viwanja kuchukua miaka 4 kupata hii inarudisha maendeleo nchi, rushwa bandarini, kodi zisizo na maana, umeme wa kubahatisha, maji safi, barabara zenye usalama, mfumo mzuri wa elimu na afya. Hivyo tatizo sio serikali kuwa na vitu vingi ni serikali kufanya kazi yake ya kiserikali vizuri mikopo kwa sasa ya biashara ni asilimia 20%-25% vitu kama hivi ndiyo serikali isaidie. Nchi haziendelei kwa serikali kumiliki vitu vingi bali serikali kumiliki vitu vichache ambayo watu wa kawaida hawawezi kumiliki. Ni bora barekhesa ameajiri watu, katumia faida kununua meli, ana nunua mazao ya wananchi n.k serikali ingekuwa na hizo godauni halafu wana wafanyakazi 20 na pesa inaishia mifukoni ingesaidia vipi nchi!Barekhesa ni mmoja kati wa walipa kodi wakubwa wakati ingekuwa ya serikali wananchi ndiyo wangekuwa wanatoa pesa kuendesha kwa hasara na kufaidisha wakina Idd Simba type!!! huu ni mfumo wa kibepari ujamaa umeshidwa

sehemu nyingine nakubaliana na wewe, mfumo wa barekhesa wakati mwingine unaumiza mwananchi kwa sababu yeye anamiliki viwanda alivyonunua serikalini alafu anakodisha TRA kama Custom Bonded, pili yeye kama mnunuzi mkubwa wa mazao, kwa nini kila kitu atengeneze yeye? ili la kutengeneza mikate, andazi, vitumbua,chapati, unga wa limau, nazi ambavyo watu wa hali ya chini kama mamantilie wanajikimu kimaisha si sawa kabisa, mgawano wa maisha yeye alipashwa kuzalisha unga watumiaji ndio watafute jinsi ya kunufaika navyo, chapati, andazi, na mikate yeye sio mwanzilishi, waanzilishi ni mama ntilie na wengine, yeye azalishe vitu vikuwa kufuatana na uwezo wake sio kudokoa kila sekta eti kwa kisingizio mlipa kodi mzuri.
 
Wana JF,

Serikali iliyokuwa ovyo sana kuliko zote ni ya Mkapa, baada ya kubinafsisha vitu vyote, waliovichukua wakavigeuza aiza mashule (pugu Mwisho wa lami) wakawauzia wakina barekhesa (Tazara NMC) vingine wakauzia wahindi maeneo yote ya pugu road eneo la viwanda, serikali ya sasa inapanga kwao sehemu ya kuhifadhia magodown, ukiwauliza fedha za kuuza viwanda na sehemu muhimu za viwanda zilifanya nini ? hawana jibu kumbe imeishia tumboni kwao.

Kwa maelezo haya Sumaye anakesi ndefu ya kujibu..kaja ndani ya nyumba,.tumweke chini atueleze vizuri..
 
Ccm ishukuru Watz wengi ni wajinga laiti watz tungelikuwa kama Wakenya au wazambia tungeshaisahau ccm ktk ulimwengu huu

Sisi maloffa na wapumbavu tumweshindwa kumshitaki na kumfunga huyu aligeuza ikulu kama kichaka cha walanguzi, kipindi hicho alikuwa na kampuni ya annben, ilikwiba mali nyingi wakajiuzia ramada hotel. Waliua NMC makusudi iliwafanyabiashara watuumize kwa kisingizio serikali imeshindwa biashara. Wakauza UDA kwa kisingizio kile kile, kila Mkoa ulikuwa na Magari ya Usafirishaji, Mwanza KAUMA ilitisha, Kagera RETCO- kagera, dodoma -KAUDo, sasa wafanyabiashara wavimba kichwa wakiambiwa wapunguze mizigo wanaaribu barabara wanatishia kugoma, wameua kamata ili waanzishe scandinavia na Mungu akajua akaiulia mbali, MKAPA alikuwa sio rafiki wa Watanzania kabisaaa, alisema wapinzani ni vichuguu wakati wamemkamata na rushwa ya minofu ya samaki mil.900 sitasahau huyu roffa babu Kubwa alivyofanya.
 
Ukiendelea kufuatilia na kulumbana juu ya mpumbavu. Tunashindwa kuelewa kati yako na yeye nani ndio mpum
 
Hivi mchunga, kweli ulikuwa serious na Urais au comedy as usual.Utetezi uliotoa siku ile mbele ya Mwenyekiti wa NEC ulikuwa wa kuchekesha maana ni aibu tupu.
 
"fisadi" mkapa ndiye aliyembeba "fisadi mdogo" magufuli na kumtosa "fisadi" Lowassa

sasa Huyu mchungaji nadhani alikula sana kotekote hadi akawa liability

May he RIP
 
Hahahah jamaa alimponda sana Magufuli ila mwishowe akasalimu amri nasikia aliwezeshwa kila kitu ili amfungulie kesi Lowassa but the rest is history!!!
 
Salaam Wana wa Tanganyika'
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
Hawa jamaa wote wawili sasa wameungana huko, wako pamoja na watamalizana wenyewe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
 
Hahahaha, usifungwe ili vijana wa sasa wajue wasiyoyajua. Mbona unaogopa? Ukifa utataka "maandiko" yako yafungwe? Ukishaandika article haiwi Mali yako tena
 
Back
Top Bottom