FirstLady1 na ujumbe kwa waliooa wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FirstLady1 na ujumbe kwa waliooa wote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mokoyo, Apr 1, 2010.

 1. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA.

  Malaki 2:15, 16
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima.
  Zaburi 111.10a
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mkuu Geoff, Wewe umeoa? Kama ndio ujumbe wako huo toka kwa FL1
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ICU kwani wewe uko single ??
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Leo nakupongeza, naona umeamua kumkumbuka Mungu wako. safi sana. concerning your argument, ambayo umekoti kwenye Bible, Mungu anachukia kuachana kabisa, na hafurahii watu wanapopeana divorce. so be careful na westernization inayosambaa kwasasa hapa tz, kwamba mtu anaamua kabisa kumpa mkewe au mumewe talaka. kumpa mume wako au mke wako talaka si sahihi kabisa, what you need to do ni kuvumiliana katika maisha, hakuna malaika, na wote tumekutana tukiwa na meno salasini na mbili, hivyo lazima kutakuwa na mikiki ya kawaida tu na ya upendo, hata kama ukisema unamwacha huyu, yule utakayemkuta kule unakoenda atakuwa vilevile tu, Ulaya kuna watu wana ndoa karibia tano, aliolewa akatoa talaka, akaolewa tena akatoa talaka, amefanya hivyo mara tano, they claim it to be a right kutoa talaka, their human right though not God's right..tofautisha kati ya human rights na God's rights. kila mtu anayekuja kwako na msemo wa human right kumbuka kuwa not all human rights are God's accepted rights, ndo maana hadi mashoga wanakubalika ulaya na africa kusini kwasababu ya human right. so is divorce, Mungu aepushie mbali balaa hili hapa tz. na wote mliotoa talaka au kupokea talaka, msioe tena wala kuoana tena, kwani mkifanya hivyo mnazini. mtabaki bila kulala na mpenzi maisha yenu yote, ama la, mrudie yule yule wa kwanza uliyempa talaka ndo utakuwa hautendi dhambi. asante kwa thread hii firstlady!
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Mie bado single Mama FL1
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HEHEHEHE!binamu ulikuwa unamjengea mazingira ukijua ''yupo singo?'':D
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa maneno yenye hekima MwM
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  -Mazingira mengi ya Talaka unakuta yanachangiwa zaidi na kutokua makini wakati wa kuchagua mchumba.Ndiyo mana inatakiwa pamoja na vigezo ambavyo ungependa mchumba wako awe navyo ni bora kumshirikisha Mungu katika mchakato wote na maamuzi utakayochukua
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Imekaa vyema sana,
  na inatukumbusha wajibu wetu kama wababa wa familia bora.
   
 11. M

  Mtu Kwao JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 258
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapa umenena maana si wote wanayajua haya kama yapo katika kitabu kitakatifu ICU.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Je, mmemuona mtu mwenye kuhamaki katika maneno?
  Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye...Mithali 29: 20
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Proverb 31:10-28
  10 [a] A wife of noble character who can find?
  She is worth far more than rubies.

  11 Her husband has full confidence in her
  and lacks nothing of value.
  12 She brings him good, not harm,
  all the days of her life.
  13 She selects wool and flax
  and works with eager hands.
  14 She is like the merchant ships,
  bringing her food from afar.
  15 She gets up while it is still dark;
  she provides food for her family
  and portions for her servant girls.
  16 She considers a field and buys it;
  out of her earnings she plants a vineyard.
  17 She sets about her work vigorously;
  her arms are strong for her tasks.
  18 She sees that her trading is profitable,
  and her lamp does not go out at night.
  19 In her hand she holds the distaff
  and grasps the spindle with her fingers.
  20 She opens her arms to the poor
  and extends her hands to the needy.
  21 When it snows, she has no fear for her household;
  for all of them are clothed in scarlet.
  22 She makes coverings for her bed;
  she is clothed in fine linen and purple.
  23 Her husband is respected at the city gate,
  where he takes his seat among the elders of the land.
  24 She makes linen garments and sells them,
  and supplies the merchants with sashes.
  25 She is clothed with strength and dignity;
  she can laugh at the days to come.
  26 She speaks with wisdom,
  and faithful instruction is on her tongue.
  27 She watches over the affairs of her household
  and does not eat the bread of idleness.
  28 Her children arise and call her blessed;
  her husband also, and he praises her:
  29 "Many women do noble things,
  but you surpass them all."
  30 Charm is deceptive, and beauty is fleeting;
  but a woman who fears the LORD is to be praised. 31 Give her the reward she has earned,
  and let her works bring her praise at the city gate.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha pamoja na kuwa ICU bado hujapata or time will tell all ze best bwana
   
 15. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Mkuu kumbe uko deep kiasi hiki? Twende tukashiriki leo
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha Binamu bwana zip your Lips
   
 17. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Time Mama FL1, na inabidi MUNGU aplay role yake sana hapo
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mwambie mimi na GS tulikua single jana tukaunda serikali ya mseto...lol
   
 19. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Renegade umeshuka verse za uhakika. Asante sana
   
 20. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  LOL!! Hivi ndoa ina serikali ya mseto nayo? Haya si mambo ya CCM na CCJ na CUF etc Nisaidieni
   
Loading...