FirstLady1 na ujumbe kwa waliooa wote

Mkubwa, hapa ndo mi huwa nakuwa mkali kama pilipili home kwangu!!!
kikiharibika kwa uzembe, watajichanga wanunue kingine.......fresh then tukipeleke kwa jirani wanaozungumzwa na yesu.
Mkuu ni kweli kabisa hamna sababu ya kucheza na chakula wakati kuna wasiokipata, nina ndugu yangu naye ana principle kama ya kwako, ila yeye ni mkali zaidi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom