FirstLady1 na ujumbe kwa waliooa wote

Kumbukumbu la torati linasema 16:1-15

Mkamchinjie Bwana Pasaka, na isionekane kilichitiwa chachu nyumabani kwako kwa siku saba, hata hiyo nyama utakayochinja, na isilale, iliewe yote kabla ya machweo. Na pasaka huyo usimchinjie ndani, bali sehemu utakayoichagua.

sio word to word...........Sadaka ya kuteketezwa.........kambuzi lazima kaanguke Pasaka bana.
 
kweli mungu ata play role yake Muulize Ben na GS wakupe siri ya mafanikio yao

Ha ha haaaah,asubiri tutoke honeymoon...
icon7.gif
.
icon7.gif
 
Kumbukumbu la torati linasema 16:1-15

Mkamchinjie Bwana Pasaka, na isionekane kilichitiwa chachu nyumabani kwako kwa siku saba, hata hiyo nyama utakayochinja, na isilale, iliewe yote kabla ya machweo. Na pasaka huyo usimchinjie ndani, bali sehemu utakayoichagua.

sio word to word...........Sadaka ya kuteketezwa.........kambuzi lazima kaanguke Pasaka bana.

Birigita plz naomba nikumbushe jina lako la ubatizo...yaani ckusomi kbsa....Bwana akubariki.
 
Jamani, Nyamayao umerudi. I love you my dear. Ulipotelea wapi wewe? Mpaka nikakuulizia. Asante kwa kuja tena. Karibu
 
Mwambie hekima wewe ndiye umbu langu, umwite ufahamu ndugu ya jamaa yako mwanamke ...Mithali 6:4
 
Birigita plz naomba nikumbushe jina lako la ubatizo...yaani ckusomi kbsa....Bwana akubariki.

Yaani hapa ndani siku hizi watu wanapenda kuweka majina yao vaisi vesa sijui kwanini?
Tall nae ameenda wapi?
 
Jamani, Nyamayao umerudi. I love you my dear. Ulipotelea wapi wewe? Mpaka nikakuulizia. Asante kwa kuja tena. Karibu

Birigita nashukuru sana kwa kunikaribisha, love u 2 swity, niambie bac jamani..aiiii wewee, ni pm love.
 
Nao walipokuwa wakila, aliutwaa mkate, akaumega, akaubariki, akawapa akisema twaeni, huu ndio mwili wangu, akafanya vivyo hivyo kwa divai..........hii ndiyo damu yangu imwagikayo kwa ajili ya wengi...Marko 14: 22 na kuendelea...

bado nimo bana!! tafakuri ya paska!!
 
Nipo kwenye tafakuri...........nitakuendea hewani baadae.

Na ya pili ndiyo hiii......mpende jirani yako kama nafsi yako. I love you mwaw!!!
 
Nao walipokuwa wakila, aliutwaa mkate, akaumega, akaubariki, akawapa akisema twaeni, huu ndio mwili wangu, akafanya vivyo hivyo kwa divai..........hii ndiyo damu yangu imwagikayo kwa ajili ya wengi...Marko 14: 22 na kuendelea...

bado nimo bana!! tafakuri ya paska!!
Mkuu kwani uko na Bible hapo kwenye keyboard yako? Dah!! Angalia nisichelewe misa bana kwani verse zako zinanifurahisha na kunielemisha
 
Na ya pili ndiyo hiii......mpende jirani yako kama nafsi yako. I love you mwaw!!!
Hii ndio inawashindaga wengi Mkuu, unakuta jirani hajala wiki nzima lakini yeye anaenda kutupa vyakula vilivyoozea kwenye friji kwa kukosa walaji
 
Mkuu kwani uko na Bible hapo kwenye keyboard yako? Dah!! Angalia nisichelewe misa bana kwani verse zako zinanifurahisha na kunielemisha
Mi bado wa moto moto kabisa, teolojia hata cheti hakijaanza kupauka.
 
Hii ndio inawashindaga wengi Mkuu, unakuta jirani hajala wiki nzima lakini yeye anaenda kutupa vyakula vilivyoozea kwenye friji kwa kukosa walaji
Mkubwa, hapa ndo mi huwa nakuwa mkali kama pilipili home kwangu!!!
kikiharibika kwa uzembe, watajichanga wanunue kingine.......fresh then tukipeleke kwa jirani wanaozungumzwa na yesu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom