First years wa mwaka huu tuwaitaje?

First years wa mwaka huu tuwaitaje?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Kuna kawaida kila mwaka first years kuwa na jina. Mimi mwaka 2005 niliitwa 'Tsunami'. Napendekeza waitwe 'Rasimu' au 'Bunge la Katiba' au UKAWA

Wadau mnasemaje?
 
Waitwe BRN kwasababu wapetaina baada kubadilishiwa point za kuingia vyuoni.
 
Kuna kawaida kila mwaka first years kuwa na jina. Mimi mwaka 2005 niliitwa 'Tsunami'. Napendekeza waitwe 'Rasimu' au 'Bunge la Katiba' au UKAWA

Wadau mnasemaje?

Duuuu kubwa zima hovyoooooooooo..... kumbe ma ww bado hujakua eeh una akili ya kiprimary ya kuitana majina ya kikudaaa uwiiiii.....afu eti we ni msomi.... itakusaidia nn ukiwapa first year jinaaa....kazi kweli kweli na wapuuzi wenzio wanakuunga mkonoooo kwenye ujinga ama kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasiiiii......sio mpaka ugongewe kengere ndo ujijue umekuwa yaani unakosa cha kufanya unatuletea mada ya kipuuzi kama hiii........na wanao kuunga mkono nao wapuuzi mm nilijua hizi tabia ni za 4m1 kumbe hadi huku juu
 
Sawa. Wewe ulijuaje kama nawazungumzia hao unaosema hawaitwi hivyo? Pendekeza jina ha ha ha ha

Kama unajua grammar, usage, na mechanics za Kiingereza basi utajua kuwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni hawaitwi "first years".
 
Haki ya mungu,
Yaani toka umeingia chuo mwaka 2005 akili haijakuwa tu?
 
Back
Top Bottom