Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
- Thread starter
-
- #161
Sanaa, kwenye accounting kuna lecturer nimemsahau jina anatoa assignments weekend huyo alafu Ku submit jtatu hapendi watu waenjoy weekend, utakutana naye mkuu[emoji23][emoji23]Then i will be lucky to be there
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]mbinguni hatoendaSanaa, kwenye accounting kuna lecturer nimemsahau jina anatoa assignments weekend huyo alafu Ku submit jtatu hapendi watu waenjoy weekend, utakutana naye mkuu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Roommate wangu alikuwa anamlaani kila ikifika weekend.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]mbinguni hatoenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitaama kozi kwa hasira[emoji23][emoji23][emoji23] Roommate wangu alikuwa anamlaani kila ikifika weekend.
Sisi tunaenda kuwaka viwanja ye anakomaa.
[emoji23][emoji23] [emoji23] utazoea mkuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitaama kozi kwa hasira
Alipata mkopo huyo roommate wako Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Roommate wangu alikuwa anamlaani kila ikifika weekend.
Sisi tunaenda kuwaka viwanja ye anakomaa.
Yes tena alitokea diploma.Alipata mkopo huyo roommate wako Mkuu
Good zaidiYes tena alitokea diploma.
Alipata percentage ndogo ila boom lilikuwepo.
Nipo college hiyo... Tutatukuwa nao mkuuLikewise, UDOM kuna wadau wangu wengi wanakuja hapo, sema watakuwa social science and humanities
Vizuri zaidi Mkuu, all the bestNipo college hiyo... Tutatukuwa nao mkuu
Hauko pekeako kwenye hilo... Kitu cha kushukuru ni umepata MADaaah mwaka wa kwanza BS nimelamba 0.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]this one oo nimecheka sanaNipo open University bacherol degree of poverty and struggling management.
[emoji23] [emoji23] punguza hasira mkuuMtu ujaanza kusoma mawazo ya kudisco yamekujaa kichwani wewe lazima udisco
Hapo wanaripoti tarehe 23. Nazan mambo mengine yatafata kuanzia tarehe hiyo.Jamani mliochaguliwa NIT orientation and registration week inaanza tarehe ngap?
Jamani mliochaguliwa NIT orientation and registration week inaanza tarehe ngap?