First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

9
Kwa Sheria soma UD au TUMAINI iIringa (University of Iringa).

#YNWA
 
Huwa wanapewa kule Hall 7 kama sikosei mnaenda kujiandikisha kwa USAB, ila kunguni kama wote na mnakuwa mixed na all genders [emoji23][emoji23]

Ningeshauri uende usajili umeshaanza kuepuka usumbufu.
Asante ni dogo bna,ko atapokelewa na nani
 
Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…