First presidential debate: Hillary Clinton Wins

First presidential debate: Hillary Clinton Wins

Hillary ni kweli yupo calm,ikitokea anakuwa Rais hopefuly Clinton mmewe ndo atagovern tena,Hillary atakuwa pale kama figure tu
Hillary sio best politician but atakuwa better leader kuliko Trump. Trump anakurupukuka sana sababu ni mtupu kichwani. Trump anaongea what few people wants to hear ! Clinton nailed it big up mamaaa! America itakuwa salama kwa huyu mama kuliko huyu mbabe.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Uzaifu wa Clinton mbona amuweka au yuko perfect kila sehemu?. Mtoto wa kike anapokutana na mwanaume kwenye harakati lazima kupaniki. Utakubali Vipi mtoto wa kike anakutuliza wakati sauti kubwa umepewa.
 
Matokeo ya mdahalo wa kwanza ndo hayo yametoka CNN nashukuru mdau kwa updm

May be
Trump hawezi kushinda coz hata ndani ya chama chake wanamjua ni con artist. Panga pangua yake hata kwenye kampeni inaonyesha ni kiongozi wa namna gani!
 
Job creation, competing for investors with countries like China which don't care about workers' welfare, clean energy, ............. contradictions! contradictions! contradictions! ...........! First world politics are not a joke!
 
Hillary sio best politician but atakuwa better leader kuliko Trump. Trump anakurupukuka sana sababu ni mtupu kichwani. Trump anaongea what few people wants to hear ! Clinton nailed it big up mamaaa! America itakuwa salama kwa huyu mama kuliko huyu mbabe.
huyu Mama kwakweli alinikosha na laipokuwa akiongea yeye unaona wazi kabisa anaye ongea ni RAIS... Alinifurahisha wakati wanamalizia mdahalo alipo waomba radhi marafiki na washirika wa marekani kuhusu yanayo endelea na kutamkwa kwenye campaign ambayo yamewakwaza....yani as if ameshakuwa RAIS

Halafu ni msikivu sana alikuwa anampa nafasi Trump kujieleza lakini Trump yeye alikuwa anamuingilia sana hadi moderator akawa anaona.
Halafu Trump swala la kusaka birth certificate ya Obama limethibitisha ni mbaguzi...
 
Uzaifu wa Clinton mbona amuweka au yuko perfect kila sehemu?. Mtoto wa kike anapokutana na mwanaume kwenye harakati lazima kupaniki. Utakubali Vipi mtoto wa kike anakutuliza wakati sauti kubwa umepewa.
unaweza ukaweka hapa udhaifu wake sio lazima wote tuone... lakini kwenye debate hakika Trump alikiona cha moto... MAMA alikuwa ana smile tuu..
 
Not so fast!

Clinton won according to whom?

Majority of snap polls show Trump won debate by a landslide despite CNN's overwhelming victory for Hillary in biggest official survey

  • CNN's snap poll gave Clinton the win with 62 per cent to Trump's 27
  • But most of the others reported Trump was the winner by a landslide
  • The pair engaged in a vigorous back-and-forth at Hofstra University
  • Here, we present the results from snap polls conducted after the debate

Read more: Most snap polls show Trump winning the debate by a landslide
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
62+27=89%
Where is the other 11%??
Kuna uzi mtu kaeleza vizuri, kuwa katika ule mdahalo watu wa waliofika 73% ni DEMOCRATIC na 27% ni REPUBLICAN. kwa hiyo kula za Republican zote zimeenda kwa Trump lakini kula za Democratic 62% zimeenda kwa Clinton, 11% Wana wasiwasi na Clinton japo ni wanachama wa Democratic wapo kwenye kundi la katikati ni rahisi sana kuwa badili na kumpigia kura Trump. Wana jf wengi hawagusi ili kundi la 11% yupi wenye wasiwasi naye.
 
Mkuu...
Mdahalo wa aina hiyo ukifanyika kwenye nchi yangu, tarajia ngumi lazima zipigwe.
Kwa push-up zile..[
emoji13] [emoji13]
Mwingine jana eti akatoa tamko kwamba yeye alikua ana nyenyua vyoma wakati mwenzie anapiga push-up....[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Hahahaa!, umenchekesha Ushmen, si kwa ukweli huu! 😀😀😀
 
hahaha alinifurahisaha alipo mwambia Trump ukiniuliza kama nilijiandaa kwa huu mdahalo nitakwambia ndio lakini pia nimejiandaa kuwa Rais wa Marekani.... daaa huyu mama anavutia kumsikiliza na haachi kujibu swali lolote na nilicho gundua alijifunza kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana... maana yeye alikuwa ana msikiliza sana kwa makini Trump atalipokuwa ana mshambulia alikuwa nanampa nafasi ya kumsilikiliza bila kuingialia lakini ilikuwa tofauti kwa Trump... hakika wenzetu wako mbele sana... ukimsikiliza Clinton unasikia kabisa sauti ya Rais....
Huyu mama ni moto wa kuotea mbali


Hiyo ni kama highlight ya debate, halafu alimsikiliza vizuri sana Trump kabla ya kumjibu bila kudanndia kama alivyofanya T. She's basically smart, experienced and classic.
 
Back
Top Bottom