Saa kumi alfajiri CNNwadau tunaomba wanaojua muda kamili wa mdahalo kuanza na pia chaneli gani itarusha mdahalo huo hapa nchini tanzania ama hata afrika mashariki atujuze....
Nimewaangalia, hillary alikuwa anakaribiana rangi na nguo aliyovaa.Hillary yuko stable mpaka sasa ktk mdahalo na Trump anapandisha munkari
tunajua Hillary ni mgombea wa mainstream media! CNN ni member wa mainstream media!Lazima uwe na ufahamu huu kabla hujashangilia matokeo ya kura hii ya maoni.
Waliohudhuria mdahalo 73% DEMOCRATS 27% Republicans
Source CNN.