Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,600
Mkuu mimi nimetazama mdharo huo hakika huyo Mama ni moto wa kuotea mbali...kwakweli kuna mambo mengi unaweza ukawashangaa wanao mshangilia Trump hasa wa AFRIKA. Trump ni tatizo la dunia... alinichekesha sana aliposema america si polisi wa dunia na anataka wanapotoa msaada nao wapate faida.Clinton Rais over mama ana point sana za kumuangamiza mpinzani wake Clinton family nadhani baadae mtoto wao atakuja kuwa Rais maana kama wapinzani ndio vichwa kama Trump...