First Meeting na Kero zake

Si kweli atleast kwangu,unless una reffer watu wengine! !!!!!
Unakumbuka uzi wa turbo za magari mpaka nikakuomba namba ya fundi, ule wa perfumes za kiume je???!!!!
Sasa pale tulikuwa kundi moja mimi na wewe? ??!!!!
How many threads humu huwa na mention jina lako???!!!

It is just a way to share info,nothing personal, nothing out of whatever is being discussed!!!!!

Kama mtu hataki maneno yake yajadiliwe ni kuwa hajui maana ya open forum!!!!!
 
Unaenda kuonana na mtu ila yeye yupo bize na simu yake.

Hapo ndo nakosa nguvu, yani nifunge safari nije kukuona unashika simu yako?

Hii hasa kwa wanawake.
 
aaahaaaaa kumbeee kuna mtu natakiwa kuonana nae kesho itabidi nifanye hivyo
 
Kaka, mbona hii ni filamu ya kinigeria tena MR IBU
 
Kaka, mbona hii ni filamu ya kinigeria tena MR IBU

mimi ndio niliwauzia hiyo stori nilipoenda lagos!!! sanaa yoyote ni vitu vinavyoakisi maisha tunayoishi, haimaanishi tukio likitokea hapa haliwezi kutokea penginepo duniani. HII HABARI ILINITOKEA MIMI MWENYEWE
 
Hembu tuonane mimi na wewe halafu tuwape wanajamvi mfano halisi kabisa...
 
Mzee mimi siwezi hayo mambo ni aibu kwangu..tuwaachie wakina fatuma..mimi nlikuambia hivyo maana unaniquote kwa kuangalia mambo nliyopost mwezi uliopita i dont think if its okay..
 
Sasa kama unajua its all aboit challenges and arguments why the hell do you think its getting personal!!!!!!!
Retrograde thinker you are
Mkuu tuache hizo mambo kwa kina mwajuma just get over it..tusonge mbele tunaharibu uzi wa mtu bila sababu za msingi..kisha tunataka tuonekane wajuaji..mambo ya mwezi uliopita kwanini tulete kwenye uzi wa watu mzuri tu huu..ni utoto na ujinga
 
Zinazinguliwa hoja zake na sio yeye!!!!!!!
Hayo ya umaarufu labda celebs forum mkuu!!!!!
Unajua chief bahati mbaya sana huyo bro namjua, unakuwa kama kakutongozea demu wako hapa kaka, maana mpaka unamwitia watu wamwone alivyo kilaza, ila si kilaza kama unavyodhani, we mchunie tu au.?
 
Unajua chief bahati mbaya sana huyo bro namjua, unakuwa kama kakutongozea demu wako hapa kaka, maana mpaka unamwitia watu wamwone alivyo kilaza, ila si kilaza kama unavyodhani, we mchunie tu au.?

Sidhani kama ina lolote na kujuana ndio maana kuna user names mkuu!!!!!!
Wewe unayemjua ndio sasa unachukulia personal!!!!!
Kutongoza demu wangu?????!!!!!!! Long time kitambo hiyo mambo mkuu married na watoto na naiheshimu ndoa yangu na inawezekana wewe na huyo unayemuita braza mkawa wadogo vile vile
!!!!

Hayo ya ukilaza na name calling inaonekana wewe na yeye mnayapa nafasi, kwa kuweka kumbukumbu sawa hiyo ilikuwa ni probing method ,kuna mjadala tulikuwa wote na hao waliotajwa na ilikuwa juu ya hiyo perception na reality basing on the actor!!!!!
 
Mzee mimi siwezi hayo mambo ni aibu kwangu..tuwaachie wakina fatuma..mimi nlikuambia hivyo maana unaniquote kwa kuangalia mambo nliyopost mwezi uliopita i dont think if its okay..

Kwani uliambiwa hili ni daftari likiisha ndio limeisha??????!!!!!
Ziko za mwaka 2010 humu na.ikiwa muhimu kwa mtoa mada atarejea mimi nililenga perception yako!!!!!!
Ila sababu unaona kama unafuatiliwa basi chukulia hivyo ila wewe kama wewe huna la kufanya na mawazo yako ukishayatoa humu basi inakuwa ni forum content otherwise withdraw au delete them!!!!!!!!
 
Mkuu tuache hizo mambo kwa kina mwajuma just get over it..tusonge mbele tunaharibu uzi wa mtu bila sababu za msingi..kisha tunataka tuonekane wajuaji..mambo ya mwezi uliopita kwanini tulete kwenye uzi wa watu mzuri tu huu..ni utoto na ujinga

Naona lugha ya kistaarabu inakushinda kabisa!!!!

Nakukumbusha tu bira ungekuwa huyo Mwajuma.watu wale mahari kuliko hili unalolikuza kuwa nakufuatilia sasa bila kuweka historia sawa jukwaa litapotoshwa na uzushi wako huu! !!!!!!

Ungeniambia niunge rejea yangu na uzi huu nikashindwa basi ningekuwa juha sana,ila unaposema nakufuatilia sijui nakumbusha ya zamani na kama hayo ni kawaida tu mi naona sababu ninaangalia perception na maudhui ya nini kinajadiliwa in line with the previous topic!!!!!

Na bado una ill perceived knowledge unayoionesha kwa kudhani majina fulani yana tabia fulani wakati names are chosen while habits are learned through culture na ukiambiwa unaona unafuatiliwa!!!!!

Mambo ya zamani yapo hata makumbusho, historical sites, archives, oral traditions na kama hayo na yanatumika inapobidi sasa ajabu nini ya kwako yakitumika?????!!!!!

Get a life and move on, I have nothing close to whatever rings in your mind in the name of "personal" it be attack or association!!!!
 
Aise kuna tatizo hapa...tuache hii aibu..huku ni kujidhalilisha bila sababu..!!
 
Sioni sababu ya haya yote..get over it..songa mbele..unaongea sana..
 
Yaani nafikiri jamaa anachoshangaa..unaonekana una hasira sana nyuma ya keybord..sababu nini hasa..?! kuwa na mawazo tofauti na wewe na hao uliwatag..!? nashangaa sana whats the big deal out of it..? what are want to prove and accomplish..get over it kama mwanaume na usonge mbele..basi kama unaona ni ujanja endelea kufuatilia kila nachocoment na kuwatag hao washkaji..ili uprove hicho unachotaka kuprove..ila naona kama utoto flani hivi..?!
 
Aise kuna tatizo hapa...tuache hii aibu..huku ni kujidhalilisha bila sababu..!!

Usikwepe tatizo uliloanzisha kwa kisingizio cha aibu!!!!!!
Next time maneno kama "nag" au "stalk" uyataumie kwa uangalifu!!!!!!
 
Unazunguka tu ila kwa mtu mstaarabu ukimuambia anakufuatilia ni bora umtukane sababu kumfuatilia au kumfuatafuata mtu pasipo sabubu ni dalili ya mwisho kabisa ya mtu asiye mstaarabu!!!!

Ulitaka usema hayo then nikuchukulie poa tu!!!!!
 
Usikwepe tatizo uliloanzisha kwa kisingizio cha aibu!!!!!!
Next time maneno kama "nag" uyataumie kwa uangalifu!!!!!!
What is the problem with u..hivi unajua huwezi kunifundisha mahali na namna ya kutumia neno lolote hapa..mbona umepanic sana shida nini ..!? alafu una kaujuaji kanakusumbua kweli..
 
Unazunguka tu ila kwa mtu mstaarabu ukimuambia anakufuatilia ni bora umtukane sababu kumfuatilia au kumfuatafuata mtu pasipo sabubu ni dalili ya mwisho kabisa ya mtu asiye mstaarabu!!!!

Ulitaka usema hayo then nikuchukulie poa tu!!!!!
Sasa wewe unachofanya nini..yaani mambo ya thread ya mwezi iliopita, unataka kuleta hapa na kutag watu ili iweje kwa ushabiki ushabiki nakuliza whats big deal out of it unashindwa kuniambia ..!? Nakwammbia get over with it.. u still naging kama mtoto mdogo ..huoni aibu..!?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…