First Meeting na Kero zake

First Meeting na Kero zake

Ahahaha siku ya kwanza kaja na smart phone eti kakopa kwasababu ana uhakika mm nitampa hiyo laki 9 akalipie ili tuwe tunaongea vyema wasap!

Nikajifanya simu yangu inaita,nikaomba ruhusa niongelee nje,sikurudi tena!
 
Back
Top Bottom