NILI MEET NA DADA MMOJA WA INSTAGRAM NA TULICHAT SANA KUPITIA INSTA MSG...TUKAPNGA KUONANA...PALE CAPE TOWN FISH MARKT MSASAN UKWEL SITARUDIA TENA NA TENA KU MEET NA HAWA MADEM WA MTANDAO...ALINITIA AIBU YAN ALIKUWA KILA MUDA ANANIPA SM YAKE NIMPIGE PICHA...HAYA TUKAAGZA CHAKULA NACHO KIKAPIGWA PICHA....MUDA MWINGI ALIKUWA BZY KUCHAT...NIKABOREKA SANA
YAN...namengi kweli ila wapo wanaojua maana ya meetng nawengne washamba wa meetng
kama upendi unangia nini acha mambo ya kishamba kanzishe blog yako
kama upendi unangia nini acha mambo ya kishamba kanzishe blog yako
Usingempa ushirikiano something might happen....... shutting down
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..
Mimi hakuwa na kero yoyote maana alikuwa ananifahamu sana tu many years ago
mmekutana restraunt/hotel jamaa anatumia dakika kumi tu kumaliza bia ya kwanza, ikifika ya tano anaanza kutukana wahudumu, unavumilia ikifika ya kumi basi kila atakachosema lazima akuguse,
Hahhaha hahahha kha! wewe hukufanya vizuri, wenzio tunatoka kistyle mtu hajui kama unamkimbiawaheshimiwa mnatisha nimecheka mi nilikuawa nachati naye fb kumuona kapauka ka kipande muogo kaagiza ledds chips mi nikatoka kama naenda toilet nikamuita muhudum masaa mpk leo cm yake cpokei wala sms