First Meeting na Kero zake

First Meeting na Kero zake

Umemchukia kwa nini ikiwa ulikuwa unafraia ujinga wake kama huo Istagram mpaka ukatamani ku meet nae.
NILI MEET NA DADA MMOJA WA INSTAGRAM NA TULICHAT SANA KUPITIA INSTA MSG...TUKAPNGA KUONANA...PALE CAPE TOWN FISH MARKT MSASAN UKWEL SITARUDIA TENA NA TENA KU MEET NA HAWA MADEM WA MTANDAO...ALINITIA AIBU YAN ALIKUWA KILA MUDA ANANIPA SM YAKE NIMPIGE PICHA...HAYA TUKAAGZA CHAKULA NACHO KIKAPIGWA PICHA....MUDA MWINGI ALIKUWA BZY KUCHAT...NIKABOREKA SANA

YAN...namengi kweli ila wapo wanaojua maana ya meetng nawengne washamba wa meetng
 
Mimi nilikutana na mtu alikuwa ananikazia macho muda wotee mpaka nikamuuliza kulikoni,anajibu nakuangalia vizuri,nikachoka mpaka nikahisi kuna kitu kibaya anakipanga juu yangu.Nikaomba udhuru tangu pale nikamblock kabisa.
 
Umemchukia kwa nini ikiwa ulikuwa unafraia ujinga wake kama huo Istagram mpaka ukatamani ku meet nae.
kuna wengine ukiwa unachart nao wanakuwa kawaida sana na ndo mana inakuja mnazoeana na kutaka kuonana.So hajakosea kabisa
 
Umemchukia kwa nini ikiwa ulikuwa unafraia ujinga wake kama huo Istagram mpaka ukatamani ku meet nae.

nilipenda kuonana nae sababu alinivutia kuwa rafiki yangu na si kwa huo ujinga unao usema ww,,mambo yake alio nionyesha siku yakwanza ndio yalio nichosha....

NIHIVYO TU
 
NILI MEET NA DADA MMOJA WA INSTAGRAM NA TULICHAT SANA KUPITIA INSTA MSG...TUKAPNGA KUONANA...PALE CAPE TOWN FISH MARKT MSASAN UKWEL SITARUDIA TENA NA TENA KU MEET NA HAWA MADEM WA MTANDAO...ALINITIA AIBU YAN ALIKUWA KILA MUDA ANANIPA SM YAKE NIMPIGE PICHA...HAYA TUKAAGZA CHAKULA NACHO KIKAPIGWA PICHA....MUDA MWINGI ALIKUWA BZY KUCHAT...NIKABOREKA SANA

YAN...namengi kweli ila wapo wanaojua maana ya meetng nawengne washamba wa meetng

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwii nimecheka sana

akitoka hapo anapost "enjoying my dinner at fish Market"
 
Si ndio hayo maujinga mliyokuwa mnaendelea kuyafanya hapo mlikomeet kwa nn yakukere tena na ndio yaliyokuvutia wewe kutaka awe rafiki yako au picha wakupigie wengine wewe usifie tu, oky alafu age nayo ni tatizo pengine bi dada ndio kumekucha alafu mwenzangu umeshapita hiyo stage sasa unaona kila kitu karaha tu pole hao ndio .com
kuna wengine ukiwa unachart nao wanakuwa kawaida sana na ndo mana inakuja mnazoeana na kutaka kuonana.So hajakosea kabisa
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwii nimecheka sana

akitoka hapo anapost "enjoying my dinner at fish Market"

sipendi kweli hizi blah blah at this and that

Na wanaopenda kupostpost hivo unakuta ndio kapata kidate cha bahat mbaya ka huyo mdada lol
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwii nimecheka sana

akitoka hapo anapost "enjoying my dinner at fish Market"

km ulikuwepo na haraka haraka NIKAJUA PALE ILIKUWA NI MARA YAKE YA KWANZA KUFIKA

SIKUENDELEA KUWA NA URAFIKI NAE ...JAPO ANAOMBA LEO KESHO TUONANE ILA NAGOPA,AIBU
 
km ulikuwepo na haraka haraka NIKAJUA PALE ILIKUWA NI MARA YAKE YA KWANZA KUFIKA

SIKUENDELEA KUWA NA URAFIKI NAE ...JAPO ANAOMBA LEO KESHO TUONANE ILA NAGOPA,AIBU

obvious watu waliozoea hayo maeneo atakuwa katulia tu

unajichetua wee hadi unaonekana limbuken
 
sipendi kweli hizi blah blah at this and that

Na wanaopenda kupostpost hivo unakuta ndio kapata kidate cha bahat mbaya ka huyo mdada lol

haha anatumia hako ka bahati effectively......

I like ur signature any meaning behind it??????
 
HA ha haaaa mie ndio maana napenda kukutana ambapo kuna kitu cha kufanya kwa wakati huo, kama sio lunc basi iwe after work au dinner!!!!!

Baada ya msosi tu kama hasomeki unatimua zako!!!!!
Sio first appointment tu Jumaapili Saa kumi !!!!!!!!!
Ukikutana na mcharuko mbona utasogeza saaa mbele!!!!!!!

Hapo hujakutana na mtu siku ya kwanza tu......honey.....mara darling.....baby wangu.....wan msemo mpya siku hizi.....my.. sijui yaan hata majina matatu bado!!!!??????????
 
Hahaaa..Mimi wote niliokutana nao miaka hii ya karibuni nawakubali, wako poa na tumekuwa marafiki wa ukweli.
Ila mwaka juzi nadhani nlikutana na kituko cha ajabu, Mungu anisamehe sikufuru ila Asha ngedere anasubiriiii...Dah, Mdada kajiweka vipodozi utadhani yeye ndio duka la cosmetics, Nguo alizovaaa....dah?
Kuwa kawaida na usitegemee makubwa unapoonana na mtu, jali maneno yake na utu wake, usidhani ndio umeopoa. Achana na kudhania utakutana na Bonge la bwana au bonge la bibi..............................................
 
HA ha haaaa mie ndio maana napenda kukutana ambapo kuna kitu cha kufanya kwa wakati huo, kama sio lunc basi iwe after work au dinner!!!!!

Mi ndo sipendi kabisa kukutania kwenye chakula kwa sababu kuna mengi yanaweza kutokea ambayo yakanifanya nione kinyaa kabisa. Si unajua tena mambo ya first impressions.

Hebu fikiria mnakutana sehemu mnaagiza makange. Kula ni kitendo kilicho messy.

Sasa mwenzio anogewe makange, mifupa aanze kuitafuna, mavidole aanze kuyalamba.....halafu amalizie kwa kucheua kama mbuzi kwa msauti mkubwa (unajua saa ingine unaweza kudhani mcheuo hautatoka na kelele lakini ikawa kinyume).

Sijali shori ni mkali kiasi gani ila akicheua kwa msauti siku ya kwanza kwangu hiyo ni deal breaker. Au ale hiyo mimakange halafu mabaki mabaki yanase kwenye meno....halafu acheke uishie kuyaona hayo mabaki....nasty.

I am very easily grossed out and that's why I prefer if it's a first date to meet or go somewhere for light drinks that don't cause flatulence.
 
tulikutana kwenye daladala chanika buguruni mi nilipandia pugu kajiungeni, nikabahatika kupata siti yenye mrembo, nikatupiamo ngeli za kiarifa, zikapasishwa mia kwa mia, roho ikafurahia ushindi, tuliposhuka buguruni kumbe mwenza wangu ana tatizo la mguu wa kushoto na mkono wake, sikutegemea ile hali hivyo nilipata mshtuko kwakweli
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..

Pure hilarity! You talked a whole bunch of shit that she wasn't trynna hear and in the end she just kept it real with you. I kinda like it.

But where did you meet her at? Here in JF?
 
Back
Top Bottom