Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..
Dah!! Mkuu hii mada murua kabisa kwangu, lkn naogopa kufunguka maana mchuchu mwenyewe mtu wa mitandao sana, nahisi yupo humu sasa naweza funguka halafu kikatimka kivumbi cha mitusi kwenye pm yangu.Lkn kilichotokea kwa yule mchuchu ndipo nilikubali ule msemo wa "usikihukumu kitabu kwa muonekano wa ganda". Mi nilimchana kweupe mbuzi anakula majani, sasa nikianika yaliyotokea yote kama yupo humu naweza nisilale kwa mitusi maana atajua tu kuwa mistari inamuhusu akisoma.
Mi ndo sipendi kabisa kukutania kwenye chakula kwa sababu kuna mengi yanaweza kutokea ambayo yakanifanya nione kinyaa kabisa. Si unajua tena mambo ya first impressions.
Hebu fikiria mnakutana sehemu mnaagiza makange. Kula ni kitendo kilicho messy.
Sasa mwenzio anogewe makange, mifupa aanze kuitafuna, mavidole aanze kuyalamba.....halafu amalizie kwa kucheua kama mbuzi kwa msauti mkubwa (unajua saa ingine unaweza kudhani mcheuo hautatoka na kelele lakini ikawa kinyume).
Sijali shori ni mkali kiasi gani ila akicheua kwa msauti siku ya kwanza kwangu hiyo ni deal breaker. Au ale hiyo mimakange halafu mabaki mabaki yanase kwenye meno....halafu acheke uishie kuyaona hayo mabaki....nasty.
I am very easily grossed out and that's why I prefer if it's a first date to meet or go somewhere for light drinks that don't cause flatulence.
Kuna wadada lika frani hivi wanaboa kweli....unameet nae mara ya kwanza anaanza kuongea utumbo utumbo tu.... Ooo ally kiba tunakaa mtaa mmoja....ooo juzi nimepiga picha na timbulo....ooo izzo b kanipa complementary kwenye show yake ya kesho etc....!!!!! What a f***k!!!!!!!
hahhahahhaha uwiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie...duuu....Jaman me kukutana na sharobaro ndo siwezi kabisaaaaa. Mtu anakuja kavaa utadhani snoop dogg vile, mcheni mrefu unakaribia usawa wa dushe, m- tshirt size ya Le mutuz, suruali ni hilo kata K utadhani kajaza mavi, bado hiyo raba ni kubwaaaa, aisee u will have to excuse me, coz I just can't stand such kind of a person even for a single minute Eishh!!!
Mwingine sasa ni kujisifia wee hadi unachefukwa roho. Mara oooh my dad is doin this, every month naingiziwa this much kwa account yangu, ulivyonipigia pale nilikuwa nabadilisha gari eeeeeh yote hayo, what for? Ntakukata huu mjicho utahisi umekutana na israel mtoa roho, afu ntasepa bila hata ya kuaga na itakuwa ndo mwisho wa kuwasiliana na wewe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Whats the problem with u..?! mbona kama sikuelewi hivi..?! what r u trying to prove or accomplish.. Hasa kwa hawa unaowaita kila ukiniquote..sokwe, Ablessed, Kaizer.. wewe mwenyewe hujiamini mpaka hao wakupigie makofi..?! It turning into nuging..unaweza kudhani ni ujanja kumbe ni ujinga na kutojiamini tu..
Chief mbona hawa wakina olesadimu wanakuzingua sana ? au wanataka uwe maarufu jamii forumWhats the problem with u..?! mbona kama sikuelewi hivi..?! what r u trying to prove or accomplish.. Hasa kwa hawa unaowaita kila ukiniquote..sokwe, Ablessed, Kaizer.. wewe mwenyewe hujiamini mpaka hao wakupigie makofi..?! It turning into nuging..unaweza kudhani ni ujanja kumbe ni ujinga na kutojiamini tu..
Si unajua chief..tukiwa huku kwenye mitandao ya jamii tunajaribu kuleta challange na kuweka mitazamo na misimamo tofauti na argument tofauti..sasa watu wanashidwa kukubali..wanafanya personal..Chief mbona hawa wakina olesadimu wanakuzingua sana ? au wanataka uwe maarufu jamii forum
Si unajua chief..tukiwa huku kwenye mitandao ya jamii tunajaribu kuleta challange na kuweka mitazamo na misimamo tofauti na argument tofauti..sasa watu wanashidwa kukubali..wanafanya personal..
acha ku date na schoolgirls mkuu.
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..
Nimesahau kitu hapa ngoja nisome kwanza!
Mkuu PRONDO yaani kama ulikuwa kwenye mawazo yangu..mimi ndo nlichokuwa mamaanisha hicho, ila nlishidwa kuelezea kwa ufasaha kama wewe ...asilimia kubwa ya watanzania ni watu wa middle class life na na chini ya hapo kidogo..sioni haja ya watu kuigiza kwenye date..kuwa fake sana , watoto wa huku uswazi wanaenda kuazima hata nguo..!nilichogundua humu JF hasa MMU ukiwa tofauti tu na misimamo ya kundi fulani wewe ni tatizo....
back to the topic....unakutana na mtu kwa mara ya kwanza hujapenda appearance yake/manners zake whatever hivyo ndivyo alivyo deal with it au move on! sasa hii habari ya kufundishana eti ukikutana na mtu mara ya kwanza vaa hivi,ongea hivi,kula hivi sijui nini sasa kama hayuko hivyo awe na kazi ya ku-act date nzima!!!! ndio maana fekero zimejaa mjini.
Whats the problem with u..?! mbona kama sikuelewi hivi..?! what r u trying to prove or accomplish.. Hasa kwa hawa unaowaita kila ukiniquote..sokwe, Ablessed, Kaizer.. wewe mwenyewe hujiamini mpaka hao wakupigie makofi..?! It turning into nuging..unaweza kudhani ni ujanja kumbe ni ujinga na kutojiamini tu..
Si unajua chief..tukiwa huku kwenye mitandao ya jamii tunajaribu kuleta challange na kuweka mitazamo na misimamo tofauti na argument tofauti..sasa watu wanashidwa kukubali..wanafanya personal..
Chief mbona hawa wakina olesadimu wanakuzingua sana ? au wanataka uwe maarufu jamii forum