First Meeting na Kero zake

First Meeting na Kero zake

NILI MEET NA DADA MMOJA WA INSTAGRAM NA TULICHAT SANA KUPITIA INSTA MSG...TUKAPNGA KUONANA...PALE CAPE TOWN FISH MARKT MSASAN UKWEL SITARUDIA TENA NA TENA KU MEET NA HAWA MADEM WA MTANDAO...ALINITIA AIBU YAN ALIKUWA KILA MUDA ANANIPA SM YAKE NIMPIGE PICHA...HAYA TUKAAGZA CHAKULA NACHO KIKAPIGWA PICHA....MUDA MWINGI ALIKUWA BZY KUCHAT...NIKABOREKA SANA

YAN...namengi kweli ila wapo wanaojua maana ya meetng nawengne washamba wa meetng

Sometime there is a reason why you met her ONline In the first place.
Draw back ya uhusiano wenye mafanikio online most cases lazima ukute kama si wote basi mmoja ni online addict.
Sasa kuja kubond offline ni kazi kwa sababu mtu kashazoea online bonding.
 
Mi ndo sipendi kabisa kukutania kwenye chakula kwa sababu kuna mengi yanaweza kutokea ambayo yakanifanya nione kinyaa kabisa. Si unajua tena mambo ya first impressions.

Hebu fikiria mnakutana sehemu mnaagiza makange. Kula ni kitendo kilicho messy.

Sasa mwenzio anogewe makange, mifupa aanze kuitafuna, mavidole aanze kuyalamba.....halafu amalizie kwa kucheua kama mbuzi kwa msauti mkubwa (unajua saa ingine unaweza kudhani mcheuo hautatoka na kelele lakini ikawa kinyume).

Sijali shori ni mkali kiasi gani ila akicheua kwa msauti siku ya kwanza kwangu hiyo ni deal breaker. Au ale hiyo mimakange halafu mabaki mabaki yanase kwenye meno....halafu acheke uishie kuyaona hayo mabaki....nasty.

I am very easily grossed out and that's why I prefer if it's a first date to meet or go somewhere for light drinks that don't cause flatulence.

Nimecheka saaaaaana imagining that kwa sista duuu!!!!!!
Daaanh asante mkuu waweza ishia kumuacha hapo kabla hamjamaliza hata kula!!!!!!
 
Hahaaa..Mimi wote niliokutana nao miaka hii ya karibuni nawakubali, wako poa na tumekuwa marafiki wa ukweli.
Ila mwaka juzi nadhani nlikutana na kituko cha ajabu, Mungu anisamehe sikufuru ila Asha ngedere anasubiriiii...Dah, Mdada kajiweka vipodozi utadhani yeye ndio duka la cosmetics, Nguo alizovaaa....dah?
Kuwa kawaida na usitegemee makubwa unapoonana na mtu, jali maneno yake na utu wake, usidhani ndio umeopoa. Achana na kudhania utakutana na Bonge la bwana au bonge la bibi..............................................
huyo asha ngedere ulimfukuza et?
 
huyo asha ngedere ulimfukuza et?
No, siwezi kufanya hivyo. Hakua anajua nn maana ya kukutana alikua na mawazo tofauti na yangu. Nlipiga nae story ila nlikua na wakati mgumu kwani kila aliyeingia tulipokaa alimshangaa. Dah, acha tu mkuu.
 
hahaha kila mtu jicho kwenu hahaha inakuwaga soooo hyo

spati picha ndio mimi haki tena napiga stor kidogo naaga
 
km ulikuwepo na haraka haraka NIKAJUA PALE ILIKUWA NI MARA YAKE YA KWANZA KUFIKA

SIKUENDELEA KUWA NA URAFIKI NAE ...JAPO ANAOMBA LEO KESHO TUONANE ILA NAGOPA,AIBU

Huyo kweli hajielew anafurahia starehe zako tu mpaka anaomba atolewe lol kwanza atakua limbukeni sidhan kama kuna haja ya mdada anayejielewa kuomba yeye atolewe kizuri kinajiuza chenyewe.
 
hahaha kila mtu jicho kwenu hahaha inakuwaga soooo hyo

spati picha ndio mimi haki tena napiga stor kidogo naaga
Yah, inakwaza lakini ili usimfanye ajisikie kama umemdharau au unajiskia, inabidi umuektie kwamba your ok..Ila iko vibaya sana hii situation.
Ila baadae aligundua kwamba hatuendani, akaachia ngazi..
 
Yah, inakwaza lakini ili usimfanye ajisikie kama umemdharau au unajiskia, inabidi umuektie kwamba your ok..Ila iko vibaya sana hii situation.
Ila baadae aligundua kwamba hatuendani, akaachia ngazi..
Naona ilikuwa kama mama anampeleka mtoto shule...

halafu naona kwenye comments nyingi wewe unakuwa unajisafisha na madhaifu unatupa pande ya pili,kwanini usiseme nikaachia ngaz?

unataka kusema asingeachia ngazi ungeendelea hivyohivyo?😛hoto:
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..

you were beating around the bush !
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..

Hahaha

Aliona unapomtezea muda tu na stories!
 
Naona ilikuwa kama mama anampeleka mtoto shule...

halafu naona kwenye comments nyingi wewe unakuwa unajisafisha na madhaifu unatupa pande ya pili,kwanini usiseme nikaachia ngaz?

unataka kusema asingeachia ngazi ungeendelea hivyohivyo?😛hoto:
Hahaaa...mkuu ukweli ndio huo, huwa NAACHWA. sijisafishi nasema ukweli, Hapo kwenye red unanifanya niwe makini na wewe.
Ila kumbuka nikisema pia nikamwacha(kama ingekua hivyo) ningeonekana mtu mbaya, ,,hii inanipa picha halisi ya huwezi kumridhisha mwanaadam. Thanks mkuu
 
men stop talking about what you have in the first meeting,... tafuta maneno mengine ya kusema ooh mimi nina hela pumbafu kabis unahela hata mia mbili ni hela....... mimi nina gari hey you go and talk with that hell car...... ohh ma mama she love me what are you doing here with me? go and talk to your mama...... jamani kuweni na mawazo chanya
 
Si ulikuwa leo, lunch tym. Umeni stand up on our first date? Am so heart broken right now.

Hahahahah...pole niliibiwa wallet sasa tungelipaje maakuli?..bt i knw hw to mend that brocken heart.
 
sipendi kweli hizi blah blah at this and that

Na wanaopenda kupostpost hivo unakuta ndio kapata kidate cha bahat mbaya ka huyo mdada lol

kama upendi unangia nini acha mambo ya kishamba kanzishe blog yako
 
Back
Top Bottom