NILI MEET NA DADA MMOJA WA INSTAGRAM NA TULICHAT SANA KUPITIA INSTA MSG...TUKAPNGA KUONANA...PALE CAPE TOWN FISH MARKT MSASAN UKWEL SITARUDIA TENA NA TENA KU MEET NA HAWA MADEM WA MTANDAO...ALINITIA AIBU YAN ALIKUWA KILA MUDA ANANIPA SM YAKE NIMPIGE PICHA...HAYA TUKAAGZA CHAKULA NACHO KIKAPIGWA PICHA....MUDA MWINGI ALIKUWA BZY KUCHAT...NIKABOREKA SANA
YAN...namengi kweli ila wapo wanaojua maana ya meetng nawengne washamba wa meetng
Mi ndo sipendi kabisa kukutania kwenye chakula kwa sababu kuna mengi yanaweza kutokea ambayo yakanifanya nione kinyaa kabisa. Si unajua tena mambo ya first impressions.
Hebu fikiria mnakutana sehemu mnaagiza makange. Kula ni kitendo kilicho messy.
Sasa mwenzio anogewe makange, mifupa aanze kuitafuna, mavidole aanze kuyalamba.....halafu amalizie kwa kucheua kama mbuzi kwa msauti mkubwa (unajua saa ingine unaweza kudhani mcheuo hautatoka na kelele lakini ikawa kinyume).
Sijali shori ni mkali kiasi gani ila akicheua kwa msauti siku ya kwanza kwangu hiyo ni deal breaker. Au ale hiyo mimakange halafu mabaki mabaki yanase kwenye meno....halafu acheke uishie kuyaona hayo mabaki....nasty.
I am very easily grossed out and that's why I prefer if it's a first date to meet or go somewhere for light drinks that don't cause flatulence.
Nilikua najaribu kum impress na general knowledge
huyo asha ngedere ulimfukuza et?Hahaaa..Mimi wote niliokutana nao miaka hii ya karibuni nawakubali, wako poa na tumekuwa marafiki wa ukweli.
Ila mwaka juzi nadhani nlikutana na kituko cha ajabu, Mungu anisamehe sikufuru ila Asha ngedere anasubiriiii...Dah, Mdada kajiweka vipodozi utadhani yeye ndio duka la cosmetics, Nguo alizovaaa....dah?
Kuwa kawaida na usitegemee makubwa unapoonana na mtu, jali maneno yake na utu wake, usidhani ndio umeopoa. Achana na kudhania utakutana na Bonge la bwana au bonge la bibi..............................................
Nilikua najaribu kum impress na general knowledge
Ha ha haa alikuwa anaona unaimba pambio msikitini!!!!!!
No, siwezi kufanya hivyo. Hakua anajua nn maana ya kukutana alikua na mawazo tofauti na yangu. Nlipiga nae story ila nlikua na wakati mgumu kwani kila aliyeingia tulipokaa alimshangaa. Dah, acha tu mkuu.huyo asha ngedere ulimfukuza et?
hahahahaaaaa
No, siwezi kufanya hivyo. Hakua anajua nn maana ya kukutana alikua na mawazo tofauti na yangu. Nlipiga nae story ila nlikua na wakati mgumu kwani kila aliyeingia tulipokaa alimshangaa. Dah, acha tu mkuu.
km ulikuwepo na haraka haraka NIKAJUA PALE ILIKUWA NI MARA YAKE YA KWANZA KUFIKA
SIKUENDELEA KUWA NA URAFIKI NAE ...JAPO ANAOMBA LEO KESHO TUONANE ILA NAGOPA,AIBU
Yah, inakwaza lakini ili usimfanye ajisikie kama umemdharau au unajiskia, inabidi umuektie kwamba your ok..Ila iko vibaya sana hii situation.hahaha kila mtu jicho kwenu hahaha inakuwaga soooo hyo
spati picha ndio mimi haki tena napiga stor kidogo naaga
Naona ilikuwa kama mama anampeleka mtoto shule...Yah, inakwaza lakini ili usimfanye ajisikie kama umemdharau au unajiskia, inabidi umuektie kwamba your ok..Ila iko vibaya sana hii situation.
Ila baadae aligundua kwamba hatuendani, akaachia ngazi..
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..
Hahaaa...mkuu ukweli ndio huo, huwa NAACHWA. sijisafishi nasema ukweli, Hapo kwenye red unanifanya niwe makini na wewe.Naona ilikuwa kama mama anampeleka mtoto shule...
halafu naona kwenye comments nyingi wewe unakuwa unajisafisha na madhaifu unatupa pande ya pili,kwanini usiseme nikaachia ngaz?
unataka kusema asingeachia ngazi ungeendelea hivyohivyo?😛hoto:
haha anatumia hako ka bahati effectively......
I like ur signature any meaning behind it??????
Hivi ulisema tunakutana lini vilee?
Si ulikuwa leo, lunch tym. Umeni stand up on our first date? Am so heart broken right now.
sipendi kweli hizi blah blah at this and that
Na wanaopenda kupostpost hivo unakuta ndio kapata kidate cha bahat mbaya ka huyo mdada lol