Dah! We jamaa umenikumbusha mtoto Juliana aiseeee!!! Ndiye alinitoa tongotongo kuhusu mapenzi na mie ndie nilkata utepe mwanawani si mchezo acha za siku hizi za Kichina hata damu huioni!!!!
Pili, nikiwa nimeanza kazi baada ya kutoka chuo nilifall kwa binti mmoja hivi (jina kapuni), nilimpenda vibaya!!! Nikatangaza ndoa kumbe mwenzangu ananing`ong`a aiseee sitakaa nisahau. Nikampeleka home wakamtambua na home wakaanza kujipanga kwenda kwao kutoa posa, ndo hapo binti alianza mauza uza. Mara hivi mara vile, wasiende kwanza mi bado mdogo, mila za kwetu mpaka dada yangu aolewe kwanza na visa kibaooo!! Nilikoma aliponionyesha live ana mwanaume mwingine, sikutaka mapambano ila nilimfata mbele ya jamaa yake na kumuuliza nini msimamo wake akanijibu 'sikutaki' tena kwa jeuri kubwa!! Mzee nikasepa, nililia sana chumbani kwangu siku hiyo sitasahau ila baada ya hapo machungu yakaisha na maisha yakasonga.
Baada ya miaka mitatu alifanyiwa na mwanaume kama alivyonifanyia mimi, yaani jamaa lilijidai linamuoa likatoa mpaka mahari halafu likaoa demu mwingine ghafla!! Alidata serious, baada ya hapo akaanza kunitafuta nimsamehe ili turudiane keshajifunza na kutuma mpaka ndugu zake kwangu. Unajua ni nini? Sikuwa na mpango wa kuoa wakati huo, ila niliamua kuoa haraka haraka tena ndoa ya kifahari mbaya!!! Mpaka leo anajaribu kuivunja ndoa yangu aingie yeye coz anadai haoni mwanaume mwingine zaidi yangu ila kachemsha!!! Maisha yanamuona vibaya, umri unasonga, kazi hakuna, yaani anatia huruma but aliyataka nimsaidieje sasa???
Hayo ndo maisha ya mapenzi tunayopitia mpaka kufikia kutulia
sio ajabu, ni hisia hivi vitu.Me cjawahi kupenda wala kupendwa so cna cha kuchangia..
Wakuu wa jukwaa,
Leo nimekumbuka pendo langu la kwanza kabisa tokea nilipofikia umri wa kupractice mapenzi.
Niseme ukweli lilikua tam.Nilimpenda sana yule msichana, alikua mrembo, alikua mtiifu, mpole.
Very ndo jina lake kwa kifupi. Mnene mnene kidogo, mrefu kiasi cha kawaida kwa mwanamke.
Nilfurahi kuafall in love, nilijifunza mengi kwani ndio ilikua mara ya kwanza kupenda. pamoja na kua ndo nilikua form 2, eti iliwaza kuoa!
Teh teh! kweli nilibambwa.
anyway siwezi kuelezea sana manake me sio mwandishi mzuri, ila leo nimemkumbuka VERYNICE wangu.
maskini, tulipotezana baada ya yeye kuhama nchi na kwenda nairobi kusoma, kwa kua hatukua na sim kipindi kile tukapotezana kabisa hata kimawasiliano.
ukweli ni kua sikupenda tena mtu hadi nilipofika chuo kikuuu mwaka wa kwanza.hapa nilipenda tena kwa mara nyingine tena siriasly, lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa kulipata penzi nililoangukia.
kwa hyo kama ni kua ktika mapenzi nimewahi kua mara 2tu, lakini kama nikufurahia mapenzi (sizungumzii ngono hapa) nimewahi kufurahiamara mojatu.
Hivi wewe first love yako, ipo?ipo wapi?? vipi status yako na yeye?
Asanteni.
daaah wewe jamaa umenikumbusha mtoto mariam ebwana eeeh. yani nilikuwa form one nami ka wewe eti nikawa nawazza kuoa aisee ilikuwa ajabu kweli. lakini nami ka wewe akahama na ndo ukawa mwisho wetu. uwa nikifikiria natokwa na machozi
hyo avatar yako ndo tatizo.nimesoma wee lakini sijaelewa huyu anataka nni naona kama alikua anatoa mawazo yake tu,au kastor kake vile!
Hahaha! Hujipendi hata we mwenyewe? Mwee!Me cjawahi kupenda wala kupendwa so cna cha kuchangia..
naipenda nafc yangu 2.Hahaha! Hujipendi hata we mwenyewe? Mwee!
basi we utakuwa sio binadamu kamili.Me cjawahi kupenda wala kupendwa so cna cha kuchangia..
Me cjawahi kupenda wala kupendwa so cna cha kuchangia..
Current one anayajua hayo?
After reading various ponographic stories in this thread, I'm now convinced beyond doubt that our youth have been tracked off completely.basi we utakuwa sio binadamu kamili.