First lady wa Nigeria

Uwiiii ode mbe

Huyu kikongwe afanane na huyu ntatembea uchi

Huyo sifanani nae hata chembe, mimi ni mkubwa sana ki umri ukinilinganisha na huyo binti mrembo.

Uzuri wa mtu kwa Mwenyeezi Mungu ni ucha Mungu wake - Kumbuka hilo. Na mimi nna jadi ya uzuri.

Bibi yako vipi? ana jadi ya uzuri (ucha Mungu)?
 
Hiyo formula haipo kwenye ulimwengu wa Mathematics.
Ipo kwa vile kila kitu ukizidisha na sifuri ni sifuri. Nina maana mwananke akiwa mbali (the distance is not zero) na kama humjui (kujua ni zero) then unapata uzuri. Kadri anavyokuwa karibu nawe unamwona wa kawaida na badaye kufeel ni nung'aembe wakati wasiomfahamu wanamtamani. Hii fomula ndiyo inahalalisha michepuko. Mara ngapi umeshuhudia msichana akiwa mbali unamuona ni mzuri ajabu (Beautiful Onyinye) lakini akikusogelea ndipo unaona na makovu, matege etc
 
Huyu ni mke wa tano buhari ana watoto kumi ila huyu aisha ana watoto watano .

Kwa sasa wamebaki wanne baada ya mmoja kufariki kwa sukari
 
Hata wa rais wetu mtarajiwa sila mkewe anamfunika huyu.
 
Huyu ni mke wa tano buhari ana watoto kumi ila huyu aisha ana watoto watano .

Kwa sasa wamebaki wanne baada ya mmoja kufariki kwa sukari

Usiwe unatoa maelezo ya uongo bila kufanya utafiti...utaumbuka!
 

Hakuna mwanamke mzuri mwenye roho mbaya au majibu mabaya sura ya mtu na roho yake iko hivyo hivyo,ukiangalia comments zake utabaini hata sura na roho yake vilivyo!
_kwanza ana chuki za kidini na kisiasa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwanamke mzuri mwenye roho mbaya au majibu mabaya sura ya mtu na roho yake iko hivyo hivyo,ukiangalia comments zake utabaini hata sura na roho yake vilivyo!
_kwanza ana chuki za kidini na kisiasa
i wish to come across with that reference!!
never seen it ether!!
nijuavyo mimi uzuri wa mtu ni subjective sana na huwez ukawa na prejudice kwa kutizama maandish hata siku moja.
mfano tupo watu wengi sana ambao sura na maimbo yetu ni mabaya na hayana mvuto machoni pa watu ila maneno ya vinywa vyetu ni matam adi mtu unataman kuonana na msemaji. sasa ifike siku ukutane na mimi utakimbia mbio zisizoshikika.
mie kwa kutumia mfano wangu binafsi naweza kupinga kabisa hoja yako kwamba umekosea sana.
 
Huyo ni mke wa ngapi? Wekeni picha ya mke wa kwanza
 
Huyo ni mke wa ngapi? Wekeni picha ya mke wa kwanza

Huyu mke pekee wa Rais Mteule wa Nigeria, ana umri wa miaka 44.Alioelewa akiwa na umri wa miaka 19.

Kabla ya huyo Buhari alikuwa na mke ambaye alitalakiana, nadhan aliishafariki kwa sasa.

Baba yake huyu first lady nae alikuwa waziri wa zamani wa Nigeria kwenye serikali ya kijeshi ya Buhari, naona akampa zawadi binti yake baada ya jamaa kutoka jela.

Ni mwanamke mwenye elimu yake, ana masters, na mpiganiaji wa haki za wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…