CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Umegonga Ikulu.
Halafu watu wanataka kuishi maisha marefu
wakiogopa uzee.
Uzee upo sana.
Ukiogopa uzee ina maana unaomba ufe kijana! otherwise uzee utakuja tu. Ukiuogopa sana ndio unaowaona wanakuwa watu wazima wanafanya mambo ya aibu ya vijana kinyume na matarajio ya umri wao.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!