First Lady Salma Kikwete

Wakati wa kampeni JK alisema sioi tena kwani Salma ni mwisho wa reli. Siku hizi simsikii mama huyu na baada ya matokeo ya Urais, mama huyu alionyesha kutokuwa na furaha na ushindi wa mumewe kama ile ya 2005. Au amjikita zaidi kwenye kulimbikiza mali katika kipindi hiki cha lala salama?
 
Kuna habari zisizo rasmi kuwa mama yuko busy na biashara akisaidiana na msaisidi wake bw. Richard. Na kuna fununu za ufisadi,deal haramu na upokeaji wa pesa chafu! Mama ameanzisha ofisi yake ya appointments za mzee(gate keeper) taafifa kamili stay tuned!
 
hahahah! akina MSWATI wako wengi bora original yeye kila mwaka inajulikana lazima afanye hiyo kwa sababu ndiyo msingi mkuu wa mfalme. SON OF DAVID HAVE MERCY ON US. Mungu huyu njoo faster, shuka tukujue.
 

Tena cha ajabu, mada imeletwa mahali patakatifu kama hapa, Jukwaa la Siasa, ambapo kila mada inayoletwa hapa inatakwa sio tu iwe ya uhakika, bali iwe inagusa mambo yenye umuhimu kwa Watanzania! Na cha ajabu zaidi, tayari tupo ukurasa wa nne tunaendelea kuchangia. MOD tafadhali, sukuma hii kwenye UDAKU, hata kwenye CHIT CHAT haina hadhi hiyo.
 
Ajabu sana,wanaingiza mambo ya Slaa kama vile huyu first lady (Salma) angeendelea na cheo chake cha u first lady baada ya Slaa kuingia madarakani.
 
 
 
 
Muanzisha hii thread mpaka mchangiaji wa mwisho wote fikra mbinuko..na huku sjui kama kuna watu wataichangia nadhani mimi ndio mtu wa mwisho
 

Asasi zao si ndo hutumika kupitisha 'mizigo' yote,yuko kibiashara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…