First Lady Salma Kikwete

 

:gossip:ANAPUMZIKA baada ya mchakamchaka wa kumpigia mume campeni za URAIS!!!!
 
Haki JF imekuwa jopo la majungu.....Salma anatuhusu nini? JK akioa mke wa tatu au wa nne kinatuuma nini na dini yake inamruhusu? Tena wengine watumia tu this post kumwingiza SLaa nk....jamani kweli na mimi sasa najitoa kwenye forum hii kama ma mods hawataweza ku-conrrol forum hii
 

thread za majungu.

peleka jukwaa la utani.
 
Nyererev alimuuzi sana mkwere 2005 alipomwambia bado mdogo ndo maana ana hasira ya kufanya chochote asafishe roho yake.Jirushe mkwere Slaa akichukua ikulu itakuwa taaabu sana
 
 
 
Kama wanajipeleka wenyewe afanye nini. Lini Mungu aliombwa mkate akatoa jiwe au samaki akapewa nyoka. hawa wanawake wanajipeleka wenyewe na uwezo wa kuwahudumia anao shida iko wapi?
 
Hii ingefaa kujadiliwa kwenye jukwaa la mahusiano au la ma serebritii
 
 
 
mara mtoto wa zakia,tena dada wa rostam sasa tena iringa naona tumempata mfalme mswati wa tanzania

bado kuna wale wa kamata nnchinje!!!!.................. huwezi ukawa poor kwa kila kitu wakuu lazima uwe strong kwingine!!! dakeni hiyo itawasaidia kujijibu baadhi ya maswali yamuhusuyo mkwere.
 
kuwa rais raha sana unadadava tu, anafanya u-muswati kimya kimya......endelea baba ndio marupurupu ya urais
 

Siyosiri nimependa comments zako, yaani kama wanaume wote wangekuwa na akili kama yako wasingethubutu kuoa mke zaidi ya mmoja.
 
Haya mambo mi nadhani ni personal, sisi tunataka kikwete atuambie kwanini anamsumbua magufuli?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…