Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!!
! Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!![/QUOTE]
hapo kwenye wanawake ndio Slaa na Kikwete wanafanana ila tofauti ni kwamba huyu mwingine(Slaa) yeye ni mwizi wa wake za watu
! Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!![/QUOTE]
hapo kwenye wanawake ndio Slaa na Kikwete wanafanana ila tofauti ni kwamba huyu mwingine(Slaa) yeye ni mwizi wa wake za watu
at the end wote wanaitwa WAZIZI, the common denomination, they serve the same devil
at the end wote wanaitwa WAZIZI, the common denomination, they serve the same devil
labda sijui kiswahili vizuri
...Wanajamvi, hivi first lady wa nji hii yupo wapi?, protokali zinataka Rais aapambatane nae katika ziara anazofanya, lakini ni muda mrefu sasa JK yupo peke yake katika ziara mbalimbali alizofanya recently. Mwanajamvi Anayejua alipo M/kiti wa WAMA atujuze hapa
Ni kweli kabisa ndugu yangu huu mfumo wa wake wengi unatakiwa ufe kuwapa haki akina mama,mi siuupendi na unadhalilisha akina mama,yaani we angalia usiku kucha mama analala peke yake na anajua kabisa jamaa kaaenda kwa bi mdogo kuchakachua inauma sana,hivi ingekuwa kwetu wanaume ingekuwaje mama aolewe na jamaa wawili leo anakuaga ni zamu ya mwenzako,ungejisikiaje,?jibu utakalo pata ndivyo inavyokuwa kwa wanawake,ni kweli inauma sana, ni sawa na wewe uambiwe mkeo anachukuliwa na jamaa fulani au jirani yako, lazima ujiulize maswali mengi kama si kutamani kuua mtu.
! Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!![/QUOTE]
hapo kwenye wanawake ndio Slaa na Kikwete wanafanana ila tofauti ni kwamba huyu mwingine(Slaa) yeye ni mwizi wa wake za watu
Mkuu, alikuibia?? Dah, Pole sana. Ndio ukubwa huo. :lol:
Siku anachukua fomu za kugombea urais pale dodoma, alitangaza hadharani kuwa hataoa tena, yeye na Salma, Salma na yeye. Safari za nje ameambatana nae, hajajifungua na hana ujauzito, anakula BATA tuPili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!!
nimesikia toka katika familia ya ASAS [iringa ambako mkwere ameopoa toto (24yrs)] kuwa atakuwa huku kupumzika kipindi cha pasaka...na atakikaa ruaha Nesheno pak