First lady Regina ndani ya Arusha Mjini

First lady Regina ndani ya Arusha Mjini

kekuwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
327
Reaction score
99
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.
 
Huyo ndiyo Fist Lady wa mfano kwani anaelewa vema nafasi yake kwa Taifa

Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe
 
Fist lady, mama mpambanaji, shujaa mwenye kujiamini leo yupo jiji la wajanja A town kuzungumza na wamama wanaojielewa kuhusu kumpa kura za ndio Legwanani Lowassa. Ndio tunamsubiri hapa botanic garden kwa Iddi.

karibuni sana wamama na mabinti mnaojielewa.

Mama yetu Mpendwa......!
 
Thx 4 infor
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Haha we boya kweli Hivi Lowasa na Magufuli nani mgonjwa..
 
Mke wa mgombea uraisi anayeelewa nafasi yake kwenye jamii. Nyota njema huonekana asubuhi
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Jiepushe sana na mambo usiyoyajua kwani uzima na ugonjwa wa mtu ni Mungu pekeyake anayouhakika ndiyo mjuzi.Unajua kati yako na Lowasa nani atatangulia kufa?.
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Mpe k huone kama anaunwa.

swissme
 
Jiepushe sana na mambo usiyoyajua kwani uzima na ugonjwa wa mtu ni Mungu pekeyake anayouhakika ndiyo mjuzi..

Si kila mgonjwa lazima Mungu ndiye anajua kuwa yule mgonjwa.Kuna wagonjwa wengine hata binadamu twaweza jua yule mgonjwa kwa kumwangalia tu kwa macho.Wanasema mwenye macho haambiwi tazama.Mtu anashindwa kupanda jukwaani,anashindwa kuongea kwa kwa muda mrefu.

Hivi Lowasa aweza panda hata lile jukwaa la uwanja wa taifa wanakokaa waheshimiwa bila kusaidiwa?
Anaweza kaa juani kupokea heshima ya gwaride la kijeshi linalochukua masaa akiwa juani? Anaweza kwa hali aliyonayo akatembea juani uwanja wa taifa kukagua gwaridde?

Anaweza kushiriki midahalo ya maraisi kule Davos inayochukua muda mrefu akaweza?

Tusimpe kazi Mwamunyange ya kubeba mtu begani akishuka kwenye gari ili ampandishe kumkalisha jukwaa kubwa pale uwanja wa taifa.Mtu Kama Lowasa akiwa na afya mgogoro ajipime na achukue hatua kama alivyochukua hatua kashfa ya Richmond.

Napendekeza Lowasa aende hospitali na sio IKulu
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Yeye alishasema mme wake mzima,Lakini kama wewe ni mke wake wa pili sawa tukusikilize.
 
Nenda kashike nafasi yake, maana yaonekana unawashwa!
 
Huyu mama hajui nafasi yake katika familia.Mume wake sio siri anaumwa.Badala ya kumpeleka mumewe kumwuguza hospitali au amwuguze nyumbani anamwacha mumewe aadhirike kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hali mbaya ya afya Akishindwa kupanda majukwaa na kushindwa kuhutubia na hali zingine mbaya za kiafya..

Sijawahi ona mwanamke katili kama Regina Lowasa.Regina alitakiwa awe na huruma na mgonjwa wake amwambie atulie nyumbani atibiwe

Ustuletee habari za kuonesha DUDU LAKO hapa eti kwa kuwa watu wanasema hujatahiriwa.

Kama umetahiriwa au hujatahiriwa hiyo sisi haituhusu ni wewe na vimada vyako huko.

Pshuuuuuuuuuuuuuu...!!!.
 
Yeye alishasema mme wake mzima,Lakini kama wewe ni mke wake wa pili sawa tukusikilize.

Regina Lowasa mwongo mkubwa.Mtu mzima anaonekana hata kwa Macho.Mumewe mgonjwa majukwaa anakopanda kuhutubia ni ushahidi tosha asilete uongo.Hana huruma na mumewe anautaka tu u-first lady bila kujali kama mumewe atafia majukwaani au la.Huyu mama Regina naye ni mroho wa madaraka.Anataka u-first lady bila kujali gharama ya afya ya mumewe kuwa akiwa majukwaani mumewe anaumia au la.

Lowasa anatakiwa kuwa hospitalini sio majukwaa ya siasa sio siri.
 
Mgonjwa ni wewe unayehangaika kny mitandao; lowassa anachapa mbuga akizidi kuungwa mkono na mamilioni ya watu. Wewe endelea kula bangi na viroba mchana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom