First lady naomba nafasi ya firstman kama iko wazi

ila nami nakuunga mkono kwani huyu dada anaonekana ana bidii kweli pande zote, ukimpata huwezi kujutia- ila umetuwahi wengi kusema hivyo. kama hupo kikazii zaid katika kamchezo hako basi kumbuka kunipa pasi akiwa kimapenzi zaidi
 
First Lady usinisahau mie ngoja nijikalie kimya huenda ukanionea huruma!
..Bora mie sijasema! Nilimwambiaga siku nyingi huyo FL1 kuwa tule tu-lips twake mh! kwa kweli ukimbananisha huachii mpaka asikie kiu ya maji!!..
 
ila nami nakuunga mkono kwani huyu dada anaonekana ana bidii kweli pande zote, ukimpata huwezi kujutia- ila umetuwahi wengi kusema hivyo. kama hupo kikazii zaid katika kamchezo hako basi kumbuka kunipa pasi akiwa kimapenzi zaidi
usikonde pasi muhimu ndio maana ya team work
 
..Bora mie sijasema! Nilimwambiaga siku nyingi huyo FL1 kuwa tule tu-lips twake mh! kwa kweli ukimbananisha huachii mpaka asikie kiu ya maji!!..

Mhh, siwezi kushangaa kwani leo ni siku ya mapumziko. Watu wanapumzisha ubongo kwa ajili ya kureje kwenye kilinge kesho.

Vinginevyo hapo kwenye red, panafanana na mtu anayependa sanamu!
 
hiyo kali, ila nawe umezidi kama ndo hivyo basi utapata unayempa kwa sasa
usichokoze hapo kwa taarifa yako kila kiumbe hambacho akijapata ajali kitakufa sababu ya ukosefu wa kinga ya mwili (ukimwi) yaani mwili hauwezi kujikinga na ugonjwa wowote. (kimya usimwambie mtu)
 
Back
Top Bottom