First lady naomba nafasi ya firstman kama iko wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First lady naomba nafasi ya firstman kama iko wazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tgeofrey, Jan 12, 2010.

 1. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chonde choNDE chonde first lady mnaomba hiyo nafasi ya first man kama iko wazi
   
 2. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umevutiwa na nini kaka,avatar?
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha heheheh hebu muulize wewe ?
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Tangu lini firstlady akakosa Firstman??????
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Uwezi jua labda hii,

  "2010 niko kikazi zaidi"
   
 6. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naona jamaa hayuko serious,hii gia gani sasa aliyoingia nayo.Yaani unatuma maombi halafu unatoa upenyo wa kukataliwa maombi yako.Haya sasa,itabidi uendelee kuteketea ndani kwa ndani.
   
 7. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  busara na kuonyesha jisi alivo mjalifu (caring lady)
   
 8. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Me namtakaga sana FIRST LADY, ila ni avetor tu iliyonivutia sasa sijui kama yeye pia nilizuri.

  first lady I LOVE U.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kiukweli mimi sio mzuri kama unavyodhani

  bad lucky
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  FL1 naona leo bahati ipo upande wako! lol
   
 11. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi napenda anavyo nishusha presha na maoni yake muruha
   
 12. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kiukweli binadamu wote walioumbwa na Mungu ni wazuri hakuna mbaya. Naamini mpaka umejiita FirstLady1 inaonekana uko bomba sana. Ngoja na mimi nikutafute, teh teh teh.
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Inawezekana ila kwa taarifa yako wanaume huwa kwanza wanatamani sura na baadaye kutafuta vitu ambavyo vinaweza kumfanya mtu akupende. Na hivyo vinapatikana baada ya kumzoea mtu. Kwa hiyo wale walikuzoea walau kwa michango yako humu ndani (pia kwa kuingizwa mkenge na avatar yako) unaweza kukuta wako hoi bin taabani. Hata hivyo kama mtu atanambia kuwa anapenda kwenye net kama hii, kwangu sioni tofauti na yule anayeamua kunitukana. It doesn't make good sense to me!
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha huyu kanidondokea kwenye mapinduzi ya zanziberi sijui kuna nn hapa ?
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha GM7 na wewe ?
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  ndo anakupindua au anampindua first man wa sasa lol
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jina lake linajieleza ni mpiganaji wa msituni huyu
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  ye anataka mbanane! Pole FL1 pole (wanavokufanyia) Pole FL1 pole! lol
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani kama hiyo picha niyako firstlady akiyanani mapinduzi lazima yafanyike ila akuna kumwaga damu itabidi nikupm mh!
   
 20. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu wangu nilikuwa sina habari kumbe wenzangu wameanza kusahiliwa loo ngoja nikanunue pamba za kufa mtu na bonge la zawadi mshangao(suprise)
   
Loading...