Kuna ka-optical illusion hapa! Mama Kikwete hajaning'iniza mguu wa kushoto, ila mandhari iko hivi: Kwenye sakafu kuna zulia la rangi ya udongo limetandikwa ila sio refu kutoshea watu wote watano kusimama juu yake kiasi kwamba

mguu wa kushoto wa mama kikwete uko kwenye sakafu badala ya zulia. Hali hiyo inaunda taswira kwamba kaning'inia
kumbe sivyo!Both her feet are on the same level!
Hofu na mashaka ni kwa watanzania na raslimali zao, whatever beautful she appears....how does that benefit the lives of Tanzanians as beneficiaries of their power?... useless
Kweli kuna ka-optical illusion
Uwoga gani huo yani alishindwa kumwambia huyo balozi wa US asogee ili nae asimame vizuri?
Kuna ka-optical illusion hapa! Mama Kikwete hajaning'iniza mguu wa kushoto, ila mandhari iko hivi: Kwenye sakafu kuna zulia la rangi ya udongo limetandikwa ila sio refu kutoshea watu wote watano kusimama juu yake kiasi kwamba
mguu wa kushoto wa mama kikwete uko kwenye sakafu badala ya zulia. Hali hiyo inaunda taswira kwamba kaning'inia
kumbe sivyo!Both her feet are on the same level!
Kweli kuna ka-optical illusion
Kikristu kigumu aisee... angesema "squeeze small"