First lady akining'inia

First lady akining'inia

Kuna ka-optical illusion hapa! Mama Kikwete hajaning'iniza mguu wa kushoto, ila mandhari iko hivi: Kwenye sakafu kuna zulia la rangi ya udongo limetandikwa ila sio refu kutoshea watu wote watano kusimama juu yake kiasi kwamba
mguu wa kushoto wa mama kikwete uko kwenye sakafu badala ya zulia. Hali hiyo inaunda taswira kwamba kaning'inia
kumbe sivyo!Both her feet are on the same level!

Shieka,

Both feet are not on the same level, please consider carpet thickness!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom