Fine ya kuingilia mradi wa serikali(tanroads)

Kwanza, je hakukuwa na kibao kuashiria kuna ujenzi unaendelea?
 
Hapo kosa ni la wafanyakazi wa TANROAD, walipaswakuweka kibao cha ujumbe au Alama mahala panapoonekana vizuri kwa uwazi kabisa
Halafu kingine walitengeneza njia ya kutokea na kuingia sasa sisi tuliona boda wanapita tukawafuata nyuma ndio kukutana na gari zinarudi! Ikabidi tukate sehemu tugeuke ndio kushangaa tuko njiani kumbe kuna watu wametuona wakawa wanatufkuzia na boda wanaamini ela ipo hapo!
 
Poleni sana
 
Back
Top Bottom