Fine ya kuingilia mradi wa serikali(tanroads)

1.8k ni Tsh. 1800. Unamaanisha hivyo? Sasa si mlipe muondoke zenu😅😅😅
Fine za Tanroad ni kubwa sana, sio kama za polisi(usalama barabarani)
Na wewe kausha basi hujui kakosea mwenzio hesabu sio za kila mtu..!! 😹😹
 
Poleni muhimu mmeyamaliza kiungwana ila ni kosa na huyo ni mstaarabu kawaonea huruma mlivyosema mna mgonjwa..!!
 
Hatujafanya lolote zaidi ya kupita na kugeuza haraka tulipogundua sio njia..
Sasa mkuu unaambiwa ni kosa unaendelea kuleta excuse unataka ujibiweje?
Kwani maeneo ya jeshi wanapoweka katazo labda la kutokupita nawe ukapita pasipo kufanya chochote kama unavyo sema huwa nini kinatokea?
Huko kupita tu sehemu yenye katazo ndo kufanya chochote sasa.
 
Hakuna hilo kosa kisheria, wahuni wangekuwa wameshwapiga sana watu pesa, sema wakikuzuia na mpelekane mahakamani ni usumbufu tu na zinaweza kutumika Sheria nyingi hata za uhujumu uchumi au uharibifu wa mali za umma kwa makusudi.
 
Duhh umeibukia wapi tena mzee? Hii mada ilishaelezewa tukaelewa! soma post nzima kabla ya ku quote watu na sukari ikiwa juu namna hii!
 
Ooh okay! Sema wale sidhani..
 
Duhh umeibukia wapi tena mzee? Hii mada ilishaelezewa tukaelewa! soma post nzima kabla ya ku quote watu na sukari ikiwa juu namna hii!
Nilitamani tu angalau ujumbe wangu ufike hata kama utakuwa umechelewa na nashukuru imekuwa hivyo na bila shaka sijamkwaruza mtu labda ni mbaya kama umekwaruzika mzee mwenzangu
 
Uzuri mzee mwenzio nina pressure tu sasa sukari yako heri imeshuka maana ingeniathiri mimi pia! Asante kwa kufikisha ujumbe!
 
Ahahhaaaaa, sasa basi sote tuwe na usiku kama huko kwenu nako ni usiku kama huku kwetu.
 
Back
Top Bottom