Find the black dot- eye test..!

Find the black dot- eye test..!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
karibuni...

1896955_601916783226115_627701230_n.jpg
 
Aisee hapa hata mchicha hauoni ndani naona vyote ni black tu duuuuu.

hahahaaa!! kwa hiyo umeshindwa kuona kidoti ?

qudadeki... waite wenzio watano wakusaidie!!
 
Hapo mchicha umerudi twisheni..

NImemwita na mwanangu mdogo hapa anisaidia kashindwa sasa nimemuambia mama yao kuanzia leo hakuna kupika mchicha hapa kwangu kama watashindwa kuniambia hako kadot kako wapi.?
 
hahahaaa!! usiue familia bana!! excel anaweza kuwa freemason!! hahaaa!!
 
Ila kweli ee make kumiliki GoLD ghafura tu sio masihara.

hahahaaa!! hiivi sijakupaga stori ya hiyo GOLD?

aisee kuna watu tuna bahati duniani sijaona!!!
 
Ebu nipe stori.

Kutembea na GOLD mpaka humu ndani sio mzaha.

ilikuwa ni juzi bana! mi niko tu nimekaa zangu ghetto sina 1 wala mbili! niko napiga miayo,

mara nasikia ngo ngo mara mbili kwenye mlango wangu wa mbao, tall man nikaamka mdogo mdogo kwenda kuangalia anaegonga mlango ni nani usiku huu??

niendelee?
 
Teh! unataka kuanza na wewe za yule jamaa wa penzi na mwl wake wa hesabu duu.. endelea
 
hahhaaaa!! yule jamaa mzushi bana..

haya,

basi mtu mzima na urefu wangu nikainuka.. nikajivuta vuta pale na kujikusanya mzima, nikavaa kaptula yangu ya jeshi.. nikawashaa kibatari kile nilichachiwa urithi na babu bana!!

sasa ile kuamka tu kufungua mlango!!!

salaaaaale!!

niendelee??
 
Mkuu usiendelee nahisi huko tunakoenda ndo kutamu zaidi tutamalizia kesho nitakukumbuusha.
 
hahaaa!! ushaogopa!! poa basi msalimie mama yoyoo!! mwambie mkurya mzungu anamsalimia!
 
Back
Top Bottom