finance m.

finance m.

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
"macho yalinidanganya mbele sikuona,nikajikuta nampenda sana,bila kujua mbele ungeniumiza"

KUNA JAMAA YANGU KATENDWA NA MCHUMBA WAKE NIMEMKUTA KAKAA KIPWEKE HUKU ANAIMBA HUU WIMBO ILIKUWA BADO MWEZI MMOJA WAFUNGE NDOA,DEMU KUMBE ANA KIDUMU DAKTARI KAMKATAA MWL.MWENZIE KAENDA KWA DR. Jina la demu FINANCE M.
 
Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake
akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamuinamia daktari akamwambia kwa sauti ya chini
chini, 'Dokta kwenye dozi andika Fanta Baridi,chips na kuku kila siku kwa siku 30,kutwa
mara tatu'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom